Search results

  1. G

    Kinara wa demokrasia na haki za binadamu duniani anatumia nguvu kuzuia maandamano ya amani kupinga mauaji Gaza

    Wameanza kutafuta mchawi. Hayo hapo chini yamesemwa na aliyekuwa spika, Pelosi. “It’s in Putin’s interest for – what’s his name? – to win. And therefore I see some encouragement on the part of the Russians of some of what is going on,”
  2. G

    Kinara wa demokrasia na haki za binadamu duniani anatumia nguvu kuzuia maandamano ya amani kupinga mauaji Gaza

    Hata North Korea hatusikii mambo ya kishenzi kama yanayotokea sasa marekani. 😆😆
  3. G

    Kinara wa demokrasia na haki za binadamu duniani anatumia nguvu kuzuia maandamano ya amani kupinga mauaji Gaza

    Ubaya wa wayahudi ukisemwa inakuwa hate speech, ukisemwa wa waarabu ni free speech.
  4. G

    Kinara wa demokrasia na haki za binadamu duniani anatumia nguvu kuzuia maandamano ya amani kupinga mauaji Gaza

    Mkuu, swala hapa ni haki za waandamanaji kupokwa. Labda utueleze kama katiba ya nchi haizihusu hizo serikali za chini.
  5. G

    Kinara wa demokrasia na haki za binadamu duniani anatumia nguvu kuzuia maandamano ya amani kupinga mauaji Gaza

    Freedom of expression ni haki ya kikatiba. Tunachozungumzia hapa ni serikali kupoka wananchi haki yao ya kuandamana. Iwe ni serikali ya mtaa au jimbo, hiyo ni irrelevant. Hakuna mamlaka inayoweza kupoka haki ya kikatiba ya mwananchi. Pelosi kalaani kinachoendelea.
  6. G

    Kinara wa demokrasia na haki za binadamu duniani anatumia nguvu kuzuia maandamano ya amani kupinga mauaji Gaza

    Na wazungu nao warudi kwao ulaya? Kumbuka, wazungu na waarabu huko wote ni wahamiaji.
  7. G

    Kinara wa demokrasia na haki za binadamu duniani anatumia nguvu kuzuia maandamano ya amani kupinga mauaji Gaza

    Maandamano ya amani lakini watu wanakamatwa utafikiri majambazi!
  8. G

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Haiwezi fikisha hata miaka mitano. Mataifa ya Ulaya yanayoisaidia Ukraine yameathiriwa sana kiuchumi kutokana na vikwazo walivyomwekea Russia. Vita inavyoendelea ndivyo wananchi walioathiriwa wanaishiwa uvumilivu, baadaye kuipinga vita hii utakuwa mtaji mkubwa kisiasa kwa wanasiasa wa EU...
  9. G

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Dunia hii ina wababe. Wengi tulijua mbabe yupo mmoja tu, US. 😆😆
  10. G

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kuleba kasema waukraine walioko ughaibuni wote wakasombwe kwa nguvu wapelekwe frontline.
  11. G

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Wakubwa wa Ukraine wanasema bila wapiganaji hayo mapesa na silaha hayatabadili kitu, wanataka wapewe na askari toka NATO, wewe huku unashangilia! 😆😆
  12. G

    Kinara wa demokrasia na haki za binadamu duniani anatumia nguvu kuzuia maandamano ya amani kupinga mauaji Gaza

    Hayo ni majibu mepesi kwa maswali magumu. Israel kwenyewe kuna wayahudi wanaandamana kupinga ufedhuli huu.
  13. G

    Kinara wa demokrasia na haki za binadamu duniani anatumia nguvu kuzuia maandamano ya amani kupinga mauaji Gaza

    Ukiusema ubaya wa wayahudi ni hate speech (anti-semitism), ukiusema ubaya wa waarabu ni free speech. 😆😆
  14. G

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kwa exchange rate ya sh ngapi! 😩
  15. G

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mjinga, anafikiri kuna mtu atamsikiliza tena huko? Hawajifunzi. Scholz juzijuzi alipokelewa na naibu meya wa jiji hukohuko China.
  16. G

    Kinara wa demokrasia na haki za binadamu duniani anatumia nguvu kuzuia maandamano ya amani kupinga mauaji Gaza

    Kumetokea wimbi la maandamano kwenye vyuo vikuu nchini Marekani kupinga mauaji ya wapalestina yanayoendelea Gaza. Serikali inatumia askari polisi kuzuia waandamanaji wanaotumia haki yao ya kikatiba kupinga kinachoendelea Gaza. Serikali hiyohiyo ya Marekani, kwa muda mrefu, imekuwa mfadhili wa...
  17. G

    Kukamatwa kwa Malisa na Boniface Jacob kutatoa fursa ya kuujua ukweli maana Magufuli alisingiziwa mengi na wapinzani wake

    Ubinafsi ni tatizo la watanzania walio wengi, na hii wengi inaweza kuwa zaidi ya asilimia 90. Leo ukipewa nafasi ukaitumikia kwa uaminifu pasipo kuiba, jamii inakuona huna akili, hata mkeo anaweza kukuona huna akili. Wezi ndio wamegeuka mashujaa nchini, wanapewa viti vya mbele hata kwenye...
Back
Top Bottom