hATA PATA CHOCHOTE ZAIDI ATAJIDHALILISHA, JIMAMA ZEE, LENYE MAKUNYANZI KUANZIA MAPAJANI MPAKA KTK MAKALIO LIAKUSAIDIA NINI? MMMMH LAKINI WAHENGA WALISEMA NGOME HAZEEEKI MAINI!
Amazing! Ugly people, end their claims in barz, walawala mingiiiiiii. Tunapenda saaaaaana kulalamika,nani amfunge paka kengele,watanzania inabidi mbadilike kuweni kama wakenya bwana wakiamua kukataa kitu wanakataaa mazima jo! Na je, wewe umeyaona hayo na unalalamika wakati uko town unakula bata...
Jiandae kwenda motoni shetani mkubwa we!Bwana Yesu amesema'kila afanyae dhambi huku anacheka ajue ataingia motoni huku analia'.Yaani jitu kubwa zima hata haya huna,eti unamnanii shemeji yako wewe hata kuachiwa dada zako itakuwa taabu.Tubu sasa hivi na nenda kamwombe radhi huyo rafiki yako la...
Sasa wewe kuweka bango la presida wa Amerika kama utambulisho wako ndio nini?Aibu, mtu mzima ovyo,wadudu wadogowadogo wananyevuanyevua.Badilika jali utaifa wako acha kushabikia mambo ya walami huko majuu,angalia jamaa hao wameanza mchezo mbaya kwa waafrika wanaowaiga,ooohh usije ukaitwa 'rafiki'
Jamani nyie semeni tu, si mmezoea kusema chochote, leteni vitu ila isije ikawa tayari mmeshanunuliwa na mafisadi, MUNGU ATAWALAAANI WOTE MLAO KWA KUTENGENEZA MAJUNGU!
Kule Dodoma leo walimu wa shule za msingi wamegoma na hivi sasa wapo viwanja vya Nyerere Square wakitoa malalamiko yao kwa afisa elimu mkoa juu ya kauli ya kifedhuli ya Mwantumu,yaani shule leo hakuna habari ndio hiyo!Kabla ya kufika hapo Nyerere Square,walimu pamoja na wanafunzi wao walifanya...
Huyu mama alikuwa mwalimu mkuu msaidizi shule aliyokuwa anafundisha mama Salma Kikwete,mara baada ya JK kuchukua utamu wa nchi,Salma alimwomba mumewe ampe fadhila Mwantumu kwavile alikuwa anamsaidia kumwandikia 'notes' za masomo ya kufundishia wakati yeye Salma akiwa safarini na mumewe.Hivyo...
Duh wewe una hasira!Unaweza kumeza moto kwa hilo donge lililopo mdomoni!Punguza kidogo najua wewe ni wale mnaopigana kule unyanchorini jamani polepole!
We bwana 'Mkapa' chondechonde unampenda 6 au unataka afungiwe biashara zake zote?Jamani tumtetee 6 pia tuangalie maslahi yake kama 6 na si kama Redio!OOoh hawa jamaa hatari kwelikweli,muulize Masumbuko atakwambia!
Acha kutuongopea wewe ni ********* umetumwa na akina fulani kuchukua umbea huku.Tunakukaribisha ila elewa hapa pamejaa watu wa rika na upeo tofauti,ukijigonga tuu umeumia.Karibu sana.
Kuna viongozi wa dini zingine hawaruhusiwi kuo hivyo wameshauriwa kutumia kondom kwavile wapenzi wanaokutana nao wana wenzao.Jamani waruhusini hao viongozi wawe na wake kwani hali inatisha sana!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.