Search results

  1. M

    GPS location kwenye baadhi ya smartphone

    mkuu msaada pekee wa kuondokana namatatizo hayo ni kununua kinokiacha tochicha line moja tu utakuwa umesolve tatizo.
  2. M

    Msaada: Jinsi ya kuzuuia adds kijidisplay kila mara kwenye simu

    habarini za leo wadau. naombeni msaada wenu wadau mnisaidie nifanye setting ya namna gani ilia kuzuia adds zinazojidisplay kwenye cm yangu ya tecno m5. yani ukiiunlock tu adds zinaanza hata nimechoka nayo naambeni msaada wenu kwa anae jua.
  3. M

    Jamani Hivi Hii app ya iLocker ni ya nini?

    yani dijaielewa kabisa. unaweza kuta imejinstall yenyewe kwenye simu kisha inakukomand kufanya settings ambazo zinadisplay kwenye home screenna bila kuzikubali huwezi kuzitoa wala kufanya chochote kwenye hiyo simu. mfn. inakulazimisha kuactivat device administrator. kudiable system lock na...
  4. M

    Ni nini siri ya tarehe 26?

    Source please?!!!!!!!!
  5. M

    Mapunye: Fahamu kuhusu chanzo, tiba na athari zake kwa ngozi yako

    habari za leo. nina tatizo la mapunye kichwani kwa zaidi ya miaka 7 sasa hayaponi nimetumiadawa za aina mbali mbali lakini wapi. haya mapunye yanakuwa ka mapele ynaiva ukiyatumbua yanatoa usaha kisha damu. na yanakuwa yanawasha sana. msaada wenu nifanyeje wapendwa.
  6. M

    Ingekuwa ni wewe ungelichukuwa hatua gani kwa huyu mwanamke?

    kaka kazi naiweza kiukweli ila nilikuwa naona kama namuumiza!
  7. M

    Jinsi ya kutumia kitu chochote kinachouzwa kwenye android games bure bila malipo yoyote

    Habari za leo wadau simu yangu ni tecno m5. ntawezaje kuiroot?
  8. M

    Hivi leo hii ukiulizwa utajibu wangapi?

    duh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.......
  9. M

    Ingekuwa ni wewe ungelichukuwa hatua gani kwa huyu mwanamke?

    jaribu kuiedit kwa kuweka hizo l na r tuone.
  10. M

    Ingekuwa ni wewe ungelichukuwa hatua gani kwa huyu mwanamke?

    Una mkeo ambapo hamjafanikiwa kupata mtoto kulingana na mipangilio yenu ya kimaisha mliojiwekea. kazi yako ni fundi wa ujenzi ambapo mara nyingi unapata site za mbali na unapoishi kulingana na kazi yako unaenda unakaa huenda kwa siku tatu hadi wiki moja unarudi nyumbani kuingalia familia yako...
  11. M

    Hivi leo hii ukiulizwa utajibu wangapi?

    katika mahusiano ni lazima itatokea siku mtazungumzia story zenu mbalimbali zilizopita na yawezekana mkaligusia swala kama hilo. je utsema ulishakuwa na wangapi?
  12. M

    Hivi leo hii ukiulizwa utajibu wangapi?

    mbona unakuwa na jaziba? inamana hujawahi ulizwa swali hilo? au just tu umeandika iliuonekane nawe umechangia?
  13. M

    Hivi leo hii ukiulizwa utajibu wangapi?

    Wapendwa habari za leo. natumai kwa mapenzi yake mungu mu wazima wa afya. Nawaulizeni hivi leo hii ikitokea umeulizwa na mkeo/mpenzi wako/mmeo swali hili utajibu wangapi? "HIVI MME/MKE/MPENZI WANGU HUKO NYUMA KABLA YA KUWA NA MIMI ULISHAKUTANA NA WATU WANGAPI KATIKA MAHUSIANO NAO KIMAPENZI?"...
  14. M

    Nini sababu ya wanaume wengi kutamani sana wanawake mwenye makalio makubwa?

    Hongera kamanda kwa kumfamisha ukweli huyo kijana. ukitaka kula nguruwe chagua alie nona. cyo unakuwa na mke kila unaposhika unakutana mifupa yani hata hamu inapotea. kwan yeye hajawahi hata ulizia bei ya steki buchani? hajui kuwa ipo juu kuliko hiyo mifupa yake? kitu ni namba 6 & 8. mwanche...
  15. M

    Mke wa mtu mtamu jamani, acheni tu...

    Mke wa mtu sumu. utanyonywa mavi!
  16. M

    Maisha ya mama Anna Tibaijuka kijijini Muleba

    hao wasomi wa udsm wanaligalimu taifa kwa vile walisoma bure.
  17. M

    Do what you can do, but don't trust a woman

    Naunga mkono hoja! Makofi.
Back
Top Bottom