Search results

  1. B

    Elections 2010 Waraka wa Waislam Kuhusu Uchaguzi Wakamilika

    Sijajua hasa sababu ya huo waraka... Ulikuwa katika mkakati au ni responce ya jambo? Jino kwa jino au..... Kwa manufaa ya wananchi wa tanzania au tabaka fulani... Tusiwe tunafanya mambo kwa jazba au kukurupuka, swala ni wananchi wa tanzania na si udini.... Mbona friction ya udini haikuwepo miaka...
  2. B

    Natafuta Rafiki, Mchumba

    Mhhhhh.... Kila la Kheri mkuu... Angalia wa kujiatifisholize nasi tumo....
  3. B

    Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

    Nahisi twamfahamu vyema mnyama jamii ya punda kabila, Pundamilia. Kipindi cha ujima, kuna mwana wa Adam mmoja alikuwa anajiskia kero sana kukutana na mnyama huyu, yaani punda. akaonelea ni vyema aiharibu ngozi ya punda ili asiwe na mvuto ndani ya kijiji cha wanyama pori. Hivyobasi akaonelea...
  4. B

    Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

    Nahisi twamfahamu vyema mnyama jamii ya punda kabila, Pundamilia. Kipindi cha ujima, kuna mwana wa Adam mmoja alikuwa anajiskia kero sana kukutana na mnyama huyu, yaani punda. akaonelea ni vyema aiharibu ngozi ya punda ili asiwe na mvuto ndani ya kijiji cha wanyama pori. Hivyobasi akaonelea...
  5. B

    Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

    Huwa sivutiwi sana na siasa za bongo, wengi wa wanasiasa wetu ni blabla nyingi na wanapenda saaana kuvaa ngozi za kondo. Mbaya zaidi ni waoga saana kuukabili ukweli. Hivi hatujiulizi michakato inayotumika kupata viongozi huko mbelembele?! Namuheshimu sana Mkubwa, Mh..ila naimani kuu na...
  6. B

    Hivi mwanamke kuwa na nyumba ndogo ni dhambi?

    Kwakweli mambo ni matamu.... Hasa tunapoonfelea feelings, wacha kabisa. Tetesi zinasema "mke wa mtu au mpenzi wa mtu anapokuwa nyumbandogo" ni raha ilioje upande wa jinsia 'ke'.... Na hapo ndipo amani inapoanza kurudi kwa house hasa kama alikua anaonekana karaha ya nyumba.
  7. B

    Huyu Mwanamke hivi nimfanyeje jamani?

    Its obvious unamyeyusha na inaonyesha wazi utulivu haujakaa sawa kiaina upande wako. Tatizo huwa hatuko wazi tunapoingia ktk mapenzi hivyo tunaenda kisanii sanii tu. If you real feel each other, hakuna haja ya kufichana fichana. What are your worries anaposhika simu, May be hujatuweka wazi...
  8. B

    Hivi mwanamke kuwa na nyumba ndogo ni dhambi?

    Hili ni swali hususan kwa kaka zetu. Hivi sasa inaonekana ni hali ya kawaida na ni kama haki ya msingi kwa mume au wachumba jinsia ya kiume kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja. Wakati huohuo, binti au mke anapokuwa na uhusiano wa kimapenzi nje ya mpenzi'ye au mumewe huwa anaonekana kama doa...
  9. B

    My ex-gf!

    Pole sana, Ila all these as matured being tumeyapitia. Let life take its course and make charge to a new beggining. I am a woman, so I am aware to ladish triks, She is playing you, na atakumwaga tena in a near future. Takea.
  10. B

    CUF Bukoba watinga bungeni

    Kile ni chuma cha moto...hao vijana ni sawa na DEBE SHINDA....na daima MBIO ZA SAKAFUNI....., tu usubiri mwisho wa mziki wenyewe.
  11. B

    Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Ila ningependa kaka zetu muwe makini na timely inovations kuhusiana na hili. Tunakoelekea ni ktk kutengeneza mix-gril. Akumbukwe mtumia unga wa pembe ya kifaru kutoka souz, ali ji kili softly within a day baada ya majamboz kupitiliza
  12. B

    Mfano wa Siasa za Bongo

    Life is like a bundle of rope. Whoever wishes to make use of it, find its beginning. The higher demand s/he becomes, the more careful s/he need to be with the pulling. Otherwise, the entire bundle tends to be mixed up and hence loose the whole direction. And once such situation occurs, the...
Back
Top Bottom