Search results

  1. Yahya Asaa

    Phone4Sale Nauza iPhone 11

    hahahahaha
  2. Yahya Asaa

    Phone4Sale Nauza iPhone 11

    haiuzwi
  3. Yahya Asaa

    Phone4Sale Nauza iPhone 11

    Asante nimefurahi kulitambua hilo kujibu (HAPANA) ukweli ni kwamba iphone 11 ni advance ya XS Max na pia umekubali perfomance yake ni kubwa kuliko XS kipengele kikubwa ni perfomance na ndio maana inapokea matoleo mengi kuliko XS max kwahiyo itoshe kusema iphone 11 ni kubwa kuliko hiyo...
  4. Yahya Asaa

    Phone4Sale Nauza iPhone 11

    usiwe na haraka twende taratibu kwahiyo iphone 11 (Bionic yake unajua ) vp ni sawa na iyo x max ? naomba jibu hapa usipanic pili juu nimekuliza maswali mawili umejibu 1 naomba ujibu hili ujibu la lile la juu
  5. Yahya Asaa

    Phone4Sale Nauza iPhone 11

    umesema kweli mkuu wangu
  6. Yahya Asaa

    Phone4Sale Nauza iPhone 11

    wapi bei hiyo au unakurupuka tu
  7. Yahya Asaa

    Phone4Sale Nauza iPhone 11

    kwahiyo na iphone 14 pro max kioo chake ni cha bei rahisi ndio maama inakaa na chaji sana ? naomba ujibu hayo masuali yangu
  8. Yahya Asaa

    Phone4Sale Nauza iPhone 11

    mbona umezungumzia kwenye kioo na kamera tu mkuu au hivo ndio vinatosha simu kua kubwa na bora kuliko iphone 11 ?
  9. Yahya Asaa

    Phone4Sale Nauza iPhone 11

    laki 8
  10. Yahya Asaa

    Phone4Sale Nauza iPhone 11

    hapana mkuu sio kweli
  11. Yahya Asaa

    Phone4Sale Nauza iPhone 11

    nikweli ila nakupa uhakika wa hii simu unapotaka kuthibitisha utaipeleka
  12. Yahya Asaa

    Phone4Sale Nauza iPhone 11

    bado uko mbali kaka
  13. Yahya Asaa

    Phone4Sale Nauza iPhone 11

    Habari zenu ndugu nauza simu yangu iphone 11 eleven simu ni mpya kabisa nauza pamoja vyote hivo kwa bei ya laki 8.5 sifa zake GB 128 bettry 100 face id iko vizuri simu haimjui fundi namba za simu 0777100041
  14. Yahya Asaa

    Prosesa i7 Gen8

    Labda hajaelewa maana dah kwa bei iyo hatari mkuu nusura simu inianguke
  15. Yahya Asaa

    Prosesa i7 Gen8

    Inawezekana bei niliotowa mimi ikawandogo kidogo lakini na kwa bei uliotowa wewe ni kubwa mnoo haiwezekani iyo ni bei ya mashine nzima iyo
  16. Yahya Asaa

    Prosesa i7 Gen8

    Haiwezekani mkuu bei iyo uwongo
  17. Yahya Asaa

    Prosesa i7 Gen8

    Sawa kaka Asante pia kwa muongozo Bei yangu kwa i5 ni 150,000 na kwa i7 ni 200,000 Vp naweza kupata kwa bei hiyo
  18. Yahya Asaa

    Prosesa i7 Gen8

    Sawa kama nitakosa nitafanya ivo
  19. Yahya Asaa

    Prosesa i7 Gen8

    Habar zenu Nahitaji prosesa i7 Gen 8 au i5 Gen8 ya dekistop Nanunua kwa bei nzuri Kama unayo namba niuzie Shukran sana kwenu
Back
Top Bottom