Search results

  1. Ng'wanapagi

    Ameniomba ushauri nimemuambia ajiue tu, hakuna namna

    Duh bora msela angekuwa anakula kawaida mtaro tena harafu harrier imepaki nje ya jamaa yako!! Dunia uwanja wa fujo
  2. Ng'wanapagi

    Inasikitisha. Nimepotezewa uanaume wangu hivi hivi najiona

    Mshukuru Mungu kwa hali hiyo jana nimeenda kuombewa Mungu aninusuru na ngono pesa zinapukutika kama nyasi kavu zilizomwangiwa petrol. Usijutie chinja hata mbuzi usherehekee
  3. Ng'wanapagi

    Kahama VS Tunduma: Wapi kuna Michongo ya Pesa na Fursa zaidi?

    Kama huijui Kahama ni heri ukanyamaza tu
  4. Ng'wanapagi

    Tuliowahi kuomba tendo la ndoa kwa wanawake ambao leo hii tunawajutia tukutane hapa

    Ulichokuwa umebakiza ni kumtongoza mchungaji Zumaridi
  5. Ng'wanapagi

    Mwigulu aitwe haraka na kamati ya siasa ya chama

    Tatizo la kumpa madaraka mtu mshamba na limbukeni ndo matokeo hayo.
  6. Ng'wanapagi

    Msaada wa kimawazo kijana aende chuo gani kati ya hivi

    Akasomee sayansi, pale SUA awaachie wakulima
  7. Ng'wanapagi

    Wakalenjini na Wakikuyu wataendelea kutawala Kenya miaka mingine 20

    Raila na Ruti wote hawafai bora mgombea uraisi angekuwa Sonko
  8. Ng'wanapagi

    Kuzaa imekuwa kama fashion (mitindo).

    Wasipozaa mtakuja na lawama wanaenda kinyume na maumbile wakizaa ooohhh hivi vibinti!!! Hamia sayari ya Venus
  9. Ng'wanapagi

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Unaandika kishabiki unafikili vita hiyo ni kama ligi ya NBC?
  10. Ng'wanapagi

    DR Congo yakerwa na kauli ya William Ruto

    Ruto kasema kweli
  11. Ng'wanapagi

    Kanda ya Kaskazini inazidi kupotea kwenye ulingo wa kisiasa katika nafasi nyeti

    Walipoanza tu kununulika sitatokea kuwaamini tena
  12. Ng'wanapagi

    Chikumbalanga sukari ya warembo yuko wapi?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Back
Top Bottom