Search results

  1. juniour12

    Uzi kwa ajili ya updates za minada mbalimbali ya vitu na mali

    Wakuu habarini za Asubuhi....Naomba kuwashirikisha wazo langu hili ambalo litakuwa ni kama njia ya kupata TAARIFA juu ya MINADA mbalimbali ya Vitu na Mali. 1.Minada ya TRA 2.Minada ya Mashirika mbalimbali Eg.Ubalozi,UN organizations,NGOs 3.Minada ya Taasisi za Fedha 4.Minada ya Makampuni...
  2. juniour12

    Soko la vitunguu nje na ndani ya nchi

    Habari zenu wakuu, Jamani nina ndugu yangu ana magunia mengi ya vitunguu almost 300 ametunza store. Tunaomba anayejua soko zuri la vitunguu nje ya nchi mfano commoro na kwa ndani kama Zanzibar atupe uzoefu wake hatimaye na sisi tuweze kufanikiwa. N.B. Huo mfano nilioweka ni kulingana na...
  3. juniour12

    Cannot generate thumbnail

    Jamani wakuu, Naombeni msaada juu ya kusolve ilo tatizo litatokea pale ninapo piga picha kwa simu yangu.. Nikienda kufungua kwa gallery inaonyesha giza na huo ujumbe hapo juu. Sasa hata picha zilizokuwa awali pia hazionekani naombeni msaada wenu maana picha zilozomo ndani ya simu ni moja ya...
  4. juniour12

    Nataka kufanyia biashara gari aina ya Land Rover One Ten

    Naombeni mnishauri jinsi gani naweza kuitumia gari aina ya Land Rover One Ten kibiashara zaidi...Napatikana Dar. Gari ni ya kizamani lakini engine ipo poa na body nzuri...Sasa naona kwa mazingira yangu ya Dar inakuwa haizalishi.Naombeni ushauri (fursa) jinsi ya kuifanya iwe productive.Nipo...
  5. juniour12

    Natafuta mayai ya kuku wa kisasa

    Wanajamvi natafuta mayai ya kuku wa kisasa kwa ajili ya kuuza maana nina fremu yangu ya mayai lakini mzigo napata kwa kusuasua....Mwenye nayo naomba anipe bei nzuri na uwezo wake kunisupply atleast tray 20 kwa siku....Napatikana Dar....Asanteni sana
  6. juniour12

    Mashine za kuranda na kuchana mbao

    Habarini wakuu, Naomba nijuzwe wapi naweza pata mashine za kuranda na kuchana mbao pamoja bei zake. Mimi napatikana Dar na Dodoma.
  7. juniour12

    Mashine za kuranda na kuchana mbao

    Habarini wakuu,Mwenye uelewa ni wapi nawezapata mashine za kuchana na kuranda mbao na bei zake naomba msaada wa taarifa tafadhali.
  8. juniour12

    Msaada please Blackberry Z10 nipate app ya JF

    Habarini wana jamvi?..Naombeni msaada juu ya kupata application ya jamiiforum kwenye simu yangu ya blackberry z10 maana nakosa raha yapata miezi miwili sasa kila nashindwa kupata hii application. Wenye links za moja kwa moja naomba mnisaidie au wenye simu kama yangu ya blackberry Z10 Naomba...
  9. juniour12

    Nahitaji mjasiriamali wa kutengeneza sabuni za mche

    Habari zenu wakuu,Naomba kwa aliye na mawasiliano na yeyote mwenye uwezo wa kutengeneza sabuni za mche kwenye maumbo tofauti anipe contacts zake maana nahitaji sabuni za kuogea za mche. Shukrani
  10. juniour12

    Nauza brand new Asus laptop Bei cheee

    Wakuu habarini za mchana,Nauza Asus notebook PC mpya kabisa Model ASUS X551M HDD 500GB Ram 2GB Processor 2.2GHz Battery inakaa 5hrs Ina web camera na window 8.. ..Pia ipo full ikiwa na CD zake pamoja na user manual. Bei 470000 wakuu
  11. juniour12

    Nauza laptop mpya kabisa.

    Nauza laptop mpya aina ya Asus x551m notebook PC....ina 2GB ram na 500GB HDD na processor ya 2.2GHz...Ina window 8,webcam na vikolokolo vyake vyote kama CD+user manual yake. Sijawahi kuitumia tangu itoke nje. Bei ni 500000...Nina shida ya ela ya haraka.
  12. juniour12

    Njoo tushirikiane kujikomboa na kuongeza kipato kimaisha kupitia kampuni yetu

    Heshima kwenu GT na imani huku kuna watu wa kada na nafasi mbalimbali katika taasisi za umma na binafsi na hata pia wale wajasiriamali. Sisi tupo wawili ambao tunailiki kampuni ambayo imesajiliwa Brella na ina valid documents zote ambazo kampuni inatakiwa kuwa nazo...Eg TIN,VAT,CERTIFICATE OF...
  13. juniour12

  14. juniour12

    Njoo tushirikiane kutekeleza hili tuweze kupiga hatua kimaisha

    Heshima kwenu GT na imani huku kuna watu wa kada na nafasi mbalimbali katika taasisi za umma na binafsi na hata pia wale wajasiriamali. Sisi tupo wawili ambao tunailiki kampuni ambayo imesajiliwa Brella na ina valid documents zote ambazo kampuni inatakiwa kuwa nazo...Eg TIN,VAT,CERTIFICATE OF...
  15. juniour12

    Kampuni Huru Tushirikiane

    Heshima kwenu GT na imani huku kuna watu wa kada na nafasi mbalimbali katika taasisi za umma na binafsi na hata pia wale wajasiriamali. Sisi tupo wawili ambao tunailiki kampuni ambayo imesajiliwa Brella na ina valid documents zote ambazo kampuni inatakiwa kuwa nazo...Eg TIN,VAT,CERTIFICATE OF...
  16. juniour12

    Plot4Rent Natafuta Shamba la ekari 20 kukodi na kufanya kilimo cha Ufuta

    Habari zenu wanajamvi,Natafuta shamba la kukodi la eka 20 kwa ajili ya kilimo cha ufuta kwa msimu unao anza yaani mwezi wa 11,12,1 au 2 kulingana na majira husika. Mimi napatikana Dar nipo tayari kwenda eneo linalo kubali vema kilimo cha ufuta especially Lindi na maeneo mengine jirani na...
  17. juniour12

    IMac desktop inagoma kutoa sauti baada ya kubadilisha window naomba msaada

    Wadau naombeni msaada wa kitaalamu jinsi ya kufix hili tatizo maana nimeangalia kwenye sound drivers zipo sawa but sauti haitoki nikiplay audio wala video.... Kabla ya hapo nilikuwa natumia UBUNTU sasa nilipo badilisha na kuweka WINDOW 8 ndio imegoma sauti... Aina ya desktop ni IMac6,1...
  18. juniour12

    Natafuta t-shirt plain za round na form 6

    Habari zenu wakuu natafuta t-shirt za aina tofaut tofuti za round collar na form 6...zikiwa katika quality tofauti tofauti na ziwe plain kwa ajili ya kuprint kwenye mavyuo na maofisi...Nahitaji kwa bei ya jumla.
  19. juniour12

    Natafuta plain t-shirt mbali mbali za kuprint

    Habari zenu wakuu natafuta t-shirt za aina tofaut tofuti za round collar na form 6...zikiwa katika quality tofauti tofauti na ziwe plain kwa ajili ya kuprint kwenye mavyuo na maofisi...Nahitaji kwa bei ya jumla.
  20. juniour12

    Laptop inagoma uwaka naomba msaada

    Laptop yangu imegoma kuwaka,nikiwasha inakuwa ina nguruma kama feni inayozunguka kwa mbali but haidisplay kitu chochote kwenye screen. But kabla haija goma kuwaka ilikuwa ikistack baada ya kuitumia kwa muda mrefu,Ilikuwa ikiniletea ujumbe ufuatao...Naombeni msaada kuna document na vitu vyangu...
Back
Top Bottom