Search results

  1. Azathioprine

    KERO Mfumo wa kufuatilia deni kwa tuliokopa Bodi ya Mikopo (HESLB) una changamoto, haufunguki

    Hiyo dunia ya karne iliyopita mkuu. Kwanini aende ofisini wakati unaweza kufanya kila kitu nyumbani kwako kwa kutumia mfumo tu? ukaokoa muda na fedha....Wanatakiwa kubadilika haraka hii kero bado ipo hata sasa hivi ninapoandika huu ujumbe.
  2. Azathioprine

    Mbeya: Mambo yameanza kuiva, Vituo vya kuanzia Maandamano vyaanza kufurika wananchi

    Safiii, Nipo kijiweni SIDO, Lazima niunge Route kuelekea Ruanda-Vzovwe.
  3. Azathioprine

    Mliopanga kuipa Taifa Stars 1.2 Bilion kwa mchezo wa leo hata wakifungwa wapeni Milioni 600 kama kifuta jasho please

    Ni vitu via ajabu sana mkuu, kama una 1.3B kwa ajili ya kuwalipa bench la ufundi na Wachezaji kwa kushinda mèchi moja tu. Kwanini usiweke hiyo pesa kwenye Program za kuendeleza Vipaji zaidi vya soka nchini, Ili tuweze kushindana zaidi AFCON ijayo 2027.
  4. Azathioprine

    Mliopanga kuipa Taifa Stars 1.2 Bilion kwa mchezo wa leo hata wakifungwa wapeni Milioni 600 kama kifuta jasho please

    Hapana! Wapewe Posho zao za kutumikia taifa kama wanavyostahili. Hiyo 1.2B ipelekwe kuendeleleza Football Academy zilizopo. Tuangalie mbele ndugu zangu.
  5. Azathioprine

    Hotuba ya Rais Samia mkoani Mbeya imeibua shangwe na nderemo Nyanda za Juu Kusini

    Hii Tanganyika Packers ndio iko maeneo ya wapi pale Mbeya? Nimefanya kazi Mbeya miaka miwili sijawahi kusikia hili eneo.
  6. Azathioprine

    Nilinunua pagala Mbeya 2017 kwa shilingi 3.5M, haliuziki hadi leo

    Wapi Huku Mkuu ? Price ya acre ikoje kwa sasa?
  7. Azathioprine

    Nilinunua pagala Mbeya 2017 kwa shilingi 3.5M, haliuziki hadi leo

    Pengine wateja wako wapo hapa.... Ungetumia nafasi hii kuweka details za Kiwanja i.e SQM, Eneo gani na bei elekezi.
  8. Azathioprine

    Tozo za Miamala, Kodi za Vinywaji Vikali kugharamia Bima ya Afya kwa Wote

    Naomba kufahamishwa Sehemu ninapoweza kuusoma huu muswada wenyewe pamaja na jedwali la marekebisho ya serikali.
  9. Azathioprine

    Nawezaje Kupata Ufadhili wa Masomo ya Chuo?

    Mkuu, Vipi Kwa Masters kwa Chuo cha Ndani ya nchi TZ?
  10. Azathioprine

    Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

    Ukweli ni kwamba "Mbeya Ni KIJIJI"... Hata Manispaa ya Moshi Ina miundombinu na mpangilio bora kuliko Mbeya. Nathan ina hadhi ya Jiji Kwa kuwaití ina Kipato kikubwa {Regional GDP}. Otherwise, Kuupanga ule mji mpya haiwezekani, Kwanza ni mfinyu sana, umezungukwa na milima, Alaf hapo kati kati ya...
  11. Azathioprine

    Uteuzi mpya wa Rais Samia, leo Juni 8, 2023, Prof. Abel Makubi ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa MOI

    Karibu Kazini Mkuu. Dr. Respicious anaenda wapi sasa
  12. Azathioprine

    DOKEZO Wafanyakazi Hospitali ya K's - Mbeya wana hali mbaya, Wamiliki nao hawajali na wanawajibu kwa nyodo

    Mkuu, Kama wafanyakazi wake Hawana Output Kwanini asiwasimamishe Kazi? Atafute Wanaoleta Tija kwa taasisi. Lakini Kitendo cha Kubakia Kazını Bila Kulipwa ujira wao sio sawa.
  13. Azathioprine

    DOKEZO Wafanyakazi Hospitali ya K's - Mbeya wana hali mbaya, Wamiliki nao hawajali na wanawajibu kwa nyodo

    Sawa mkuu, Alishawahi Kukuhudumia huko hosp kama Daktari? Kamą ni Hivyo basi unaweza ukatoa taarifa kwa mamlaka husika za usimamizi. Kumbuka Sio Wote wanaofanya Kazi Hospitalini ni Wanataaluma hivyo ya Afya.
  14. Azathioprine

    DOKEZO Wafanyakazi Hospitali ya K's - Mbeya wana hali mbaya, Wamiliki nao hawajali na wanawajibu kwa nyodo

    [emoji28][emoji28] taratibu basi ankali mbona unatupanga hivi. HKL akawe Daktari? Sio kihivyo ankali
Back
Top Bottom