Watu wengine bhana..,Watu tunajadili TEMBO wanaoibwa na KINANA wao wanaleta hoja za Kadi..,nia ya ukombozi hailwetwi kwa Kadi inatoka moyoni..nway...Kinanaaaa....Weka Mbali na Tembo..!
..kadi ni muhimu wadau lakini kutokuwa na kadi kusitufanye tukae tu..tuendelee kuelimisha na kushawishi wengine waunge mkono Chadema..kikubwa ni kufanya kazi kadi ni karatasi tu..
Polisi wameanza kuwapiga mabomu wanafunzi muda huu..,ila wanafunzi wanapambana nao kwa Mawe.Hakunipa details zaidi ila amesema hali ni Mbaya sana Policcm wamepiga mabomu ya kutosha na wametumia nguvu kubwa kuwahi kushuudiwa mkoani humo..
Chanzo:Mwanafunzi wa Uhasibu Arusha
Chapa mwendo kaka,hawa watu hawana fadhira hata ufanye mema vipi siku moja atakuona ---- tu.Ila kwa issue yako mi nakushauri achana naye hasara roho pesa makaratasi,unaweza lazimisha then baadaye uje kujuta.Wanawake wengi utapata shemeji mwingine tu.
Ila wanawake jamii ya hawa huwa wanatumiwa...
Hivi hawa jamaa si ndo wana mkoa maalumu wa vyuo vikuu..,inamaana SAUT haipo katika huo mkoa.,si wangetumia hata mkuu wa mkoa wao wa vyuo vikuu kushinda.
Ukiona hivi ujue Safari ya hawa Kenge inakaribia mwisho,panya wakubwa hao.
Yah na mimi pia namkubali sana na huwa anaongea mambo ya msingi sana..lakin wakat mwingine huwa hatend sawa mfano mauaji yakifanywa a Polisi kwenye maandamo yeye analaumu wanasiasa..
Yeye amesema tume ya kuchunguza jengo lilidondoka ina watu ambao walipaswa kuchunguzwa..sasa tujiulize tume ya polisi ya kuchunguza mauaji ya mwangosi ni halali..?
coz kuna wakati alikuwa akisifu jeshi la polisi na namna wanavyotenda kazi na kuwaponda wanasiasa,bila kuzingatia kuwa kila kitu ni...
Salaam,
Kwa wale wasikilizaji wa RFA watakiwa wanamfahamu mtangazaji mwenye hekima kubwa Ndugu Wambura Mtani,mara nyingi amekuwa akinishangaza sana katika kipindi cha Goodmorning Africa cha RFA katika segmentvya SOMO LA LEO kwani amekuwa akipindisha ukweli mfano amekuwa mkosoaji mkubwa wa...
Salaam,
Wakuu hii taasisi ya NACTE nayo ni moja kati ya majanga ya kitaifa katika elinu yetu..Hawa jamaa wanachangia sana kuua elimu tanzania..ukitaka kuamini hili Waulize NACTE namna mitaala ya vyuo vilivyo chini yake unaandaliwa vipi? pia waulize je mitaala ya vyuo inafanana..maana kila chuo...
Well suala hapa sio udini na ndoa,suala ni pale mtu anaojibiwa majibu kama mm sipend wakristo coz ni wala nguruwe.,au mimi d
siwapend waislam coz ni wakatiri..hizo ndio hoja..lakin suala la ndoa ni lingine..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.