Search results

  1. J

    Dr. Slaa na Prof. Baregu kwenda ACT-Wazalendo?

    Potezeni muda na majungu yenu,safari ya matumaini ndo kwanza imepamba moto!!!!
  2. J

    Tahliso waamua kuitolea uvivu serikali

    Mungu awatangulie maana tutakufa njaa, ni aibu kubwa bunge maalumu la CCM kuendelea wakati watoto wa masikini tunakufa njaa.
  3. J

    hela ya field!!!

    godfrey who is great thinker?how do u know that you are a great thinker,jibu swal acha michepuko.
  4. J

    Selection ya vyuo 2014 inatoka lini?

    kuweni wapole tunawasubir kwa hamu,kuanzia mwez wa tisa mambo yatakuwa sawa..
  5. J

    hela ya field!!!

    n kwel vyuo ambavyo havijapata hela ya field kwamba hela haijafka vyuon?kwann wengne wapate na wengne wasipate?
  6. J

    Bodi ya mikopo SAUT na matawi yake imewakosea nini?

    kaka wote tunalia njaa hata TEKU bado,tusubr may b next week.
  7. J

    Hawa ndio walimu wetu wapya

    hi ndo tz!!tatzo n mfumo wa elimu mbovu sana...
  8. J

    TEKU mambo yameiva!!!

    wahi kijana,usign mpunga!hata mm ni BED MATHS nimeshasign.
  9. J

    Teku members only

    sawa kipo mbeya,vp kna sifa gani academically?
  10. J

    Boom Boom!jamani

    TEKU tumesaini leo!!loan officer wetu yuko poa sana.
  11. J

    Teku members only

    jamani wanajamvi napenda tufahamiane tunaosoma TEOFILO KISANJI UNIVERSITY,ebu tupia sifa walau moja ya chuo hiki.
  12. J

    TEKU mambo yameiva!!!

    hatimaye loan officer atoa tangazo kwamba mkwanja ulishafika chuoni kilichobaki ni kusaini mkwanja uingie kwenye akaunti
  13. J

    direct cost at TEKU

    wadau wa jf,nashukuru sana kwa taarifa ngoja njipange i hope degree ntapata!!ila dharau c nzuri,nmekupenda sana msafiri
  14. J

    direct cost at TEKU

    wadau wa jf mbona mnakwepa hoja ya msingi?nmeulza direct cost ya teku sh ngap?suala la chuo kibaya au kizuri haikuhusu!
  15. J

    vp kunatatizo hapa?

    nacte wamenchagua teku,mkopo nmepata lakn jina silioni kwenye web ya chuo.USHAURI
  16. J

    direct cost at TEKU

    jamani msaada hivi direct cost at TEKU ni sh ngapi?
  17. J

    Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

    Mungu akubariki sana uliyepoteza muda wako kuntazamia namba S0527/0054/2004,naomba unichekie na huyu S0527/0051/2004
  18. J

    Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

    vp yanatuhusu tulopitia nacte?if so msaada S0527/0054/2004
Back
Top Bottom