Sasa hapo nani mwenye shida? EL anaonekana kuagiza wizara husika zikutane pamoja na BOT na TANESCO. maana yake mamlaka zote zijirizishe na mchakato na kutoa report na mwandishi kwenye para 2 anasema report imepelekwa kwake.
wekeni na hiyo report iliyopelekwa kwake kutoka kwenye hizo mamlaka...
cheap Argument!! Bora angesema chama chake kimemtingisha na akatingishika. Maana kama ni UKAWA nilitegemea aseme Chama chake kimejitoa. Too Personal Lipumba
"I will not let anyone walk through my mind with their dirty feet."
― Mahatma Gandhi
Watu wengi hawataki kujua nini kimetokea na kinaendelea nn? wanabaki kufanya personal attacks ambazo hazisaidii.
kwa nini u waatack PAC? why dont you atack CAG and PCCB??. PAC wamefanya kuchambua...
Hapo mkandara i agree with you, huwezi kutekeleza mambo ya kwako binafsi kwa niaba ya taifa lazima yawe documented ili yeyote atakaepewa madaraka aweze kutekeleza na wananchi wampime ya aliyoyaeleza. CHADEMA wameeleza kila kitu kwenye Katiba, ilani ya uchaguzi na sera zao pia. kama kama...
yes kugawanyika si kupigana 100% correct. hata familia moja wana mitizamo tofauti na maono tofauti pia. ili kuleta changamoto lazima tugawanyike kwa hoja pia kwa matendo, hii itapelekea msukumo wa kiutendaji kwa serikali regardless nani yuko madarakani kwani atajua asipofanya vizuri lazima...
If fighting is sure to result in victory, then you must fight, even though the ruler forbid it; if fighting will not result in victory, then you must not fight, even at the ruler's bidding.
hapa nimejaribu kuangalia ni jinsi gani baadhi ya watu humu wana upeo mdogo kifikra.
hivi ni makampuni mangapi yanakopesha wafanyakazi wake?
na huwakopesha kiasi gani?
hurudisha mkopo kwa muda gani?
je tumelinganisha na nani?, CRDB, NBC, NSSF, PPF, STANBIC, BARCLAYS, STANCHART, AKIBA ZAIN...
tunachosahau ni kwamba vita kama hivi havitaisha kwa kuhubiri majukwaani wala kuwapa baadhi ya watu deadlines. pia tabia ya tulio wengi kuangalia jambo kwa upeo wa juujuu na outcomes kama hizi za vita. kila litokealo lina chanzo chake na kwa mtazamo wetu inaweza tuchukua hata miaka mia bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.