Search results

  1. mtwa mkulu

    Naomba ushauri: Alijua ni bikira lakini alipojaribu hakukuta kitu

    Chekundu... Ila kwanini amuache Kwani aliyowagegeda yeye anategemea wataolewa na nani? Asamehe na kusahau
  2. mtwa mkulu

    Al Ahly wana mikwara kama kawaida yao

    Ndo nini hivyo
  3. mtwa mkulu

    Uchaguzi wa Senegal 🇸🇳 umenifanya niwaelewe vizuri Vijana wa hapa Nchini

    Nilikuwa namtafuta yule mfia mbowe wa jf nimtag aione hyo nimemkosaaaa
  4. mtwa mkulu

    Waarabuni wa Dubai waomba zabuni ya kuendesha Mabasi ya Mwendokasi

    Wewe wakuwekwa kwenye sandarusi hivi unafundishaga nini watoto wako hapo nyumbani???
  5. mtwa mkulu

    Waarabuni wa Dubai waomba zabuni ya kuendesha Mabasi ya Mwendokasi

    Kwasasa hakuna proved... kama imeshindwa kusimamia mradi wa magari tu wanaweza kipi kufanya??
  6. mtwa mkulu

    Abiria wa Mwendokasi tuliotakiwa kutoka Kivukoni kwenda Kimara, Dereva katupeleka Morocco kisha akaturudisha Kivukoni

    Juzi walipeleka watu kimara bila kuwashusha hata kituo kimoja. Hii nchi mbona imechoka hivi
  7. mtwa mkulu

    Arsenal wakiongoza ligi ngumu sana kusikiliza ushauri

    We are never work alone!!! Karibuni huku
  8. mtwa mkulu

    Msingi wa Ikulu ya Dodoma, ulitumia nondo za Tsh. Bilioni 1

    Biafsi naona ni uzalendo wa hali ya juu kipindi cha JPM Jengo kubwa kama hilo lenye jina zito kutumia msingi wa 1B Kwa hawa viwavijeshi ingetumika 1 T
  9. mtwa mkulu

    Urusi: Video ya kuhojiwa ya mtuhumiwa wa ugaidi Moscow

    Kwani waislamu wote si wamefunga ama??
  10. mtwa mkulu

    Niliandika Mwaka 2022 kuhusu vigogo Kutumia Bendera ya CCM Kusafirisha Wahamiaji

    Mkuu nipo mbeya kuna mambo nineyasikia kuhusu mdude nikaamua nimkubaki. Infact nilikuwa namuona ndezi tuu ila huyu jamaa anakitu cha tofauti kidogo. Usimchukulie kirahisi
  11. mtwa mkulu

    Niliandika Mwaka 2022 kuhusu vigogo Kutumia Bendera ya CCM Kusafirisha Wahamiaji

    Hahahahahah infact napigania Democrasia ya kweli. Najua kwanini umeuliza swali hili ila mimi siwez hata siku moja kuwa upande wa CCM humu ama CDM isipo kuwa watu makini kama mdude, china wa china, luhaga mpina, deo filikunjombe RIP Ndio miamba yangu
Back
Top Bottom