Search results

  1. S

    Fungieni magazeti, midomo tuachieni.

    Gazeti lisiloimba sifa na mapambio ya ccm linapigwa kufuri.nasema fungieni yote yabaki ya uhuru lisilo na uhuru wowote,mzalendo sisi tuachieni midomo yetu inatosha kuhabarishana.tutapaza sauti zimfikie kila mnyonge atambue haki zake tena hata simu tutaelimishana.nyie bakini na hayo magazeti...
  2. S

    Nikikutana mh jk nitasema haya.

    Iwapo nikibahatika kupewa nafasi ya kuonana na mh. Rais jk nitamshauri hv, mosi, avunje uongozi mzima wa helsb kwa sababu hauna tija nzuri kwa maendeleo ya elimu ya juu na unafanya kazi ya kubahatisha tena afadhari ya waganga wa kienyeji. Mf. Bodi hiyo inawapa kipaumbele watoto yatima lakini...
  3. S

    Fungieni magazeti lakini hamuwezi kufungia midomo yetu .

    Kuendelea kufungia magazet ei hoja
  4. S

    Sababu za kukosa mkopo ni zipi ?

    Habari za usk waungwana. Naomba kwa mwenye ditel za uhakika ni sababu zipi zimepelekea tukose mkopol? Je ni pesa zimekwisha? Je tunanuksi na hvt tukaoge maji ya baharini tutoe nuksi hizo? Au ni vigezo vp vimetumika hadi tunyimwe mkopo? Naombeni mnifahamishe waungwana wangu.
  5. S

    Fidia ya ardhi sheria inasemajel?

    Naomba msaada wa sheria, kuna ujenzi w brbr wilaya ya nzega, waliorodhesha miti,ukubwa wa eneo wa brbr itpit. miezi sita htujalipwa hy fidia, juzi wmetumia viongozi w kijiji wawash wishi wakubri brbr itengenezwe fidia baadae wananch wmegom.. je srheri ihasemsje. JE NI KWELI PES HAZIPO AU NI WIZI...
  6. S

    Msaada wa taarifa

    Mdogo kapangiwa chuo cha mwalimu nyerere kigamboni,educ je wanamabweni au hostel za kulala hapo chuon? Msaada kwa mwenye kujua
  7. S

    Nauliza hivi

    Hivi kwanini vyama vyote vitatu vinavyopinga kuwa zanzibar hawakushirikishwa kwenye mchakato wa katiba vilikutana na shura ya maimamu peke yao na wakristo wakaachwa solemba hv ni kwanini hawakukutana na baraza au chombo kinachowawakilisha wakristo huko zanzibar? Kwanini waislam wamekutana nao...
  8. S

    Majanga katika taifa letu.

    Ni kweli ndungai, kigwangala, mwigulu ni msiba mzito katika taifa letu.
Back
Top Bottom