Search results

  1. autorun255

    Una hasira? Njoo hapa

    Hasira na bila hekima ni hasara. Ina mabaya mengi kuliko faida.
  2. autorun255

    Pilika za Siasa zinachosha mgombea kaamua akae Chini

    Kipundi kile akiwa waziri mkuu alikuwa anapokea taarifa hata juu ya mti..... Tumpe kura nyingiiiii aendeeeleee kulitumikia taifa la tz na wananchi wake.
  3. autorun255

    Tanesco umeme wa gesi vs mabasi ya mwendo kasi!

    Wanasiasa waliingilia mchakato ili kufanikisha kupata KURA nyingi hasa CCM. Umeme wa gesi bado sana labda mwakani. Mradi wa mabasi yasiokuwa na foleni .... tumeyaona yameshushwa bandarini , nadhani wanasubiri mzee wa kaya JK, na waziri Magufuli kuzindua kuelekea siku za mwisho uchaguzi ili...
  4. autorun255

    Wababa mukichepuka musitoe dozi kubwa...Tunachanganywa

    Hio ladhufiiii ni ya wapi ? Mukuu
  5. autorun255

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Bavaria asante kwa picha.
  6. autorun255

    Say something about American boy

    Mbunifu.
  7. autorun255

    MMU na vijimaneno vyake

    The Boss angesema “ interesting“
  8. autorun255

    Haha some people play too much

    Hahahahaaaaaa...
  9. autorun255

    Namshangaa Magufuli, anavyo fananisha mabadiliko ya Tanzania na yale ya Libya

    Mi nimeuchoka huo mfano wa “LIBYA“ . Anautumia kuweka hofu mwenye mioyo ya watz. Walibya walichukua silaha kumtoa ghadafi wakisaidiwa na mataifa ya magharibi. Ss watz tunachukua vikatio vyetu “KADI ZA KUPIGIA KURA“ kuleta mabadiliko.
  10. autorun255

    Mtangazaji wa ITV Hemed Kivuyo, atosha

    Hemed kivuyooo ni noumaa. Mie huwa nafurahia sana anavyosoma habar za michezo.
  11. autorun255

    Picha: Lowassa akiwa Kigoma

    Salutiii raisi wetu.
  12. autorun255

    Kimoyomoyo ninaumia na mambo ya jana katika uzinduzi wa Kampeni za CHADEMA/UKAWA

    Lowasa hata angesimama na kusemaaa piiiippooozi , mie ingetosha kumpa kura
  13. autorun255

    Dr Magufuli Anaomba Ridhaa Ya Urais Au Uwaziri?

    Hata mie nimekuwa najiuliza swali hilo , hotuba zake zote ni barabara Swala jingine kaishiwa cha kuongea Jana nikamskia akitumia motto wa chadema “peoples power“ Hana jipya
  14. autorun255

    Peter Msigwa apiga mil. 200 za Lowassa, Iringa Mjini mpo?

    Uzi wako unaongelea hongo(rushwa) hapo hapo umejisahihisha mwenyewe kwa kueleza matumizi ya pesa hizo, kuandaa mkutano, muziki, posho. Hakuna cha bure pesa inatumika kufanikisha mikutano kwenye vyama vyote kama walivyofanya ccm jagwani
  15. autorun255

    Kero ya Wauza tiketi kwenye stendi za mabasi ya mikoani

    Dawa yao wakiuuliza unasafiri kuelekea wapi, waambie k/koo. Wanasambaa fastaaaaaa
  16. autorun255

    Polisi wazuia ziara ya Edward Lowassa, Kariakoo. Wapiga marufuku mgombea kupanda daladala

    Atazuia hadi wagombea kwenda chooni. Kova acha kuvuka mstari kuzungumzia yasiyo kuhusu. Shughulikia usalama na amani.
  17. autorun255

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Men in black SUITS. Wakienda kurudisha heshima kwenye Champions league. #GGMU
  18. autorun255

    Humphrey Polepole on Star TV: Hama Hama katika Vyama, ni kwa Maslahi ya Nani?

    Kutoka kuwa mwanaharakati hadi kuwa mwanasiasa.
  19. autorun255

    Humphrey Polepole on Star TV: Hama Hama katika Vyama, ni kwa Maslahi ya Nani?

    Polepole amebadilika kutoka mwanaharakati hadi kuwa mwanasiasa mpiga domo.
  20. autorun255

    4G iko hewani

    Huduma ya 4g inapatikana kama 3g au hadi kujiunga?
Back
Top Bottom