Search results

  1. W

    Serikali ya CCM Dar imeshindwa kushughulikia tatizo la takataka?

    Yes inabidi kila nyumba iwe na pipa...mbona karibu kila nyumba ina choo au? alternative serikali zetu za mitaa zinunue mapipa kwa kila nyumba na kutukata kodi...ni lazima tuwe creatie na hili suala wote kwa pamoja tutaeza kuliko hali ya sasa kusubiri hawa viongozi wetu wazembe wa serikali za...
  2. W

    Kikwete's Regime Exposed: Activists report to US Congressional Committees... For Your Eyes Only

    Yes ni exposure na disgusting report, but also lets go forth and back on these issues and not take them at face value, this is how I see as follows; 1. Yes, Tz has always been a police state since independence hii haijaanza wakati wa JK, tangu enzi za Nyerere polisi used to be very brutal...
  3. W

    Serikali ya CCM Dar imeshindwa kushughulikia tatizo la takataka?

    Suala ni kuanzia kwenye nyumba zetu...kila kaya iwe na pipa la taka na sio kufanya usafi ndani kisha kutupa taka nje barabarani. Kwenye hili suala kwa kweli nafikiri ni uelewa wetu kama jamii ni mdogo na hapa hatuhitaji kuwalaumu viongozi wetu. Baada ya kaya ni muhimu kila mtaa na shina kuwa...
  4. W

    Hong Kong seizes Sh2.24bn ivory tusks from Tanzania

    We ndugu yangu mali za magendo hazirudishwi huwa zinabaki hukohuko, kwani madawa ya kulevya yakikamatwa huwa yanarudishwa Columbia? Hivyo haya meno yanabaki Hong Kong, sijui watayafanya nini?
  5. W

    Hong Kong seizes Sh2.24bn ivory tusks from Tanzania

    Hii ni leo tena. Jamani baada ya mwezi jana polisi wa Hong Kong kukamata meno ya tembo na vipande zaidi ya 1,200 ya thamani ya USD 3.4 millioni, leo tena wamekamata jingine tena. Inaaminika kontena hilo toka Tanzania likiwa na bengu za alizeti huku nyuma yake wakiwa wameficha vipande zaidi ya...
  6. W

    Kenya Monopolizing East Africa

    Hapa naona tunaendekeza sana nationalism wether ni wa Kenya au Tz, kwangu mimi naona ownership not an issue hata US, UK au mfano mzuri in modern times in China foreign co. ndizo zinaongoza kwa kutoa employment especially China...serikali yao ilitambua kuwa wao hawana uwezo (kama sisi) kutoa...
  7. W

    Kama MWAKYEMBE na MAGUFULI wanafanya uhuni huu basi CCM imedhamiria kuwazika Watanzania!!!

    Mkuu Paul Kijoka naona dhamira yako ni nzuri na kuna baadhi ya vitu umetaja vina pointi ila unasahau kitu kimoja. Hoja yako kuu imeelemea kwenye swala la kupunguza foleni ya magari wakati lengo kuu ya hii miradi miwili ni kuwapa unafuu na kuleta usafiri mbadala kwa walio wengi (wapanda...
  8. W

    Uchaguzi 2015, Mgombea Chadema Anateuliwajei?

    Awali tuwaombee faraja kwa wahangwa wote wa ajali ya meli, Mwenyezi Mungu awape nguvu kwa kipindi hichi kigumu ndugu na jamaa wote waliofiwa na tunawaombea majeruhi wote wapone mapema. Kwa sie ambao uelewa wetu wa siasa za CDM ni mdogo, ningependa kupewa darasa kuhusu mchakato wa uteuzi wa...
  9. W

    Membe kuwania urais 2015...

    Na January Makamba au? nakwambia mbona itakuwa ni kimbembe na Zitto kashasema nae atagombea CDM, yetu macho na masikio
  10. W

    Membe kuwania urais 2015...

    Kwani nani kasema kuwa is given CCM kushinda come 2015? mmesahau jinsi CDM wanavyokuja juu...je wagombea wengine CCM nao vipi? Hakuna guarantee kuwa Membe ndio chaguo la CCM kuna kina Sumaye, Tibaijuka, Sitta, Nahodha, Bilal, Magufuli na bila kusahau Lowassa wote hao wanaweza kugombea na...
  11. W

    Tunyanyue sauti:- MV LIEMBA (100 YEARS OLD) Isitishe huduma zake katika ziwa Tanganyikia

    Swala la umri ni kweli ni tatizo lakini cha msingi ni matengenezo(maintanance) kama meli inafanyiwa matengenezo ya maana basi hakuna tatizo inaweza kutumika hata miaka mia. Suala ni gharama za matengenezo hayo na inavyozidi kuzeeka ndio gharama inazidi. Hii Meli kwa vile ina historia ndefu na...
  12. W

    Meli ya MV Skagit yazama

    Hivi kwa nini hatujifunzi hii nchi kweli maisha yetu yanadhalilishwa namna hii mwaka jana tu watu mia 200 walifariki, jee iliundwa tume kuchunguza hiyo na kuona udhaifu uko wapi? nope...kuna yeyote amejiuzulu? Nope...kuna yeyote kufunguliwa mashtaka kwa uzembe na mauaji bila/kwa kukusudia...
  13. W

    Lowassa na Tatizo la Uongozi CCM

    Nimeipenda article yako na uchambuzi wako makini, hayo maneno ni kweli ila ningependa kuongeza kidogo kwa kulingana na wakati huu wa vyama vingi. Ni kweli kuna wanasiasa na viongozi wa siasa lakini ukumbuke kwenye demokrasia ya kweli vyama vyote nguli vya siasa huwa vina faction(makundi) ndani...
  14. W

    Muundo wa Muungano: Tanganyika tunataka 'Serikali moja, nchi moja, taifa moja'!

    Ni wazi bora serikali moja kuliko hizi mbili za sasa, na zaidi hakuna mtu makini anayeona practicality ya serikali tatu. Tatizo la serikali moja ni kuwa waZnz wanaogopa kumezwa moja kwa moja na Bara. Na hofu yao hiyo mi naikubali kihistoria ni kweli nchi yao ilikuwepo na ni ndogo kulinganisha...
  15. W

    vipindi vya ITV na mustakabali wa taifa la Tanzania!

    Usisahau vilevile kwenye ITV ni lazima waseme kiongozi wao Reginald Mengi oopsss!! sorry Dr Reginald mengi anafanya nini hata kama haina maana yeyote, mfano; leo hii dr mengi alikuwa nyumbani tu amepumzikaa au Leo hii Dr Mengi kakutana na blaa blaa blaa...who cares...gosh!! vilevile wanakera...
  16. W

    Dhana duni ya 'Mfumo Kristo'

    Je na sisi wengine ambao hatupo kwenye uislam au ukristo inakuwaje? Hii yote ni dhana duni watanzania wote kwa ujumla wetu tuna hali mbaya wakristo, waislamu na sisi wengine tusiofungamana na hizi dini za wageni wote tupo kapu moja la umaskini wa kutisha. Kuanza kuangalia eti hoo mbona...
  17. W

    Ufafanuzi wa Mch. Gwajima Kuhusu Mkenya wa Dr. Ulimboka

    Tumuombee uzima Dr maana yeye akipona atataja ni kina nani walimteka, maana inaaminika ni watu alishakutana nao kabla, maana hii sasa haieleweki, imekaa ki conspiracy theory zaidi ya ukweli. Nna imani ukweli utajulikana tu maana si waswahili tuna usemi 'penye ukweli...uongo hujitenga'
  18. W

    JF EXCLUSIVE: Sababu ya Kuachishwa kazi Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO

    As long as tanesco iko chini ya Serikali DG wake siku zote anatakiwa kwa mujibu wa sheria kuwajibika kwa Katibu mkuu na waziri wa Nishati, hivyo ndio jinsi ilivyo, hao ndio mabosi wake pamoja na Bodi yake. Ukweli hili shirika haliko huru, period. Sasa kwa mantiki hiyo ni wazi kuwa DG alitakiwa...
  19. W

    Kuna mkono wa CCM kwenye kesi ya Slaa? Angalia picha hii!

    Kwa sheria za bongo hata kama hamjaoana rasmi, kama mwanaume ukikaa unyumba na mwanamke kwa kipindi kisichopungua miaka miwili basi hiyo ni kama ndoa. Hapo kila partner ana haki ya kudai mali zilizochumwa kipindi hicho na maswala mengineyo kama malezi ya watoto na kadhalika...yetu macho huyu...
  20. W

    CHADEMA HATARI Inakuja TAZAMENI

    Hivi ningependa kuuliza, hasa kwa wale ambao ni wanachama na wanaharakati wa CDM kwani mchakato wa kuchagua mgombea urais kwa CDM ukoje? Nina maana je huyo mgombea i.e. Slaa safari iliyopita au Mbowe kabla yake alichaguliwaje, kuna kamati maalum au ni halmashauri au kura ya maoni? wengi tunajua...
Back
Top Bottom