Search results

  1. mama jason

    Special kwa mafundi TV

    Habari zenu wana jamvi, Kwa wale mafundi TV nauza TV (screpa) imeharibika kioo ila vifaa vingine vipo ok. TV yenyewe ni LG,PLATT ,PLASM.INCHI 42 Kwa mafundi TV anayehitaji ani pm ASANTENI
  2. mama jason

    Kwa mafundi TV: Nauza TV Mbovu

    Habari zenu wana jamvi kwa wale mafundi TV, Nauza TV (Screpa) imeharibika kioo ila vifaa vingine vipo ok. Kwa mafundi TV anayehitaji ani PM. TV yenyewe ni LG, PLATT, PLASM, INCHI 42.. Ahsanteni!
  3. mama jason

    Nauza Mashine ya Selcom

    Habari zenu wanajamvi nauza mashine ya selcom ipo katika hali nzuri kwa anayeihitaji anipm thanx
  4. mama jason

    Hii dhiki sasa imepitiliza

    Habari, naitwa Mr. Raymond from TRANSNET LTD Dar, tupo kikaoni tunapitia CV tuchague candidates wa kuinterview for PUBLIC RELATIONS OFFICER POST, CV yako ni nzuri nataka kukusaidia upate hii kazi kwa terms zifuatazo, salary ni tshs 1,200,000/= kwa mwezi ukilipwa salary ya kwanza utanipa laki 3...
  5. mama jason

    Nyumba inapangishwa

    Ipo sinza afrikasana ipo karibu kabisa na barabarani ina vyumba viwili vya kulala sitting foom choo na joko,ipo ndani ya geti na ina parking kosi ni shs 280000 kwa mwezi nataka napokea kodi ya miezi nane.kwa anayehitaji anipigie 0714438523
  6. mama jason

    Nauza tv flat screen

    Inchi 42 shs 880,0000 nimeitumia mwezi mmoja tu ina port zote muhimu kasoro usb.unaeza iweka ukutani au mezani.ni ya mtumba kutoka zanzibar.na nyingine nyingi zunapatikana kwa atakayehitaji ani pm
  7. mama jason

    Samsung gallax3

    Nauza samsung gallax 3 used kwa anayehitaji ani pm
  8. mama jason

    Nyumba inauzwa

    ipo maeneo ya afrika sana sinza upande wa sokoni km unaelekea mabatini bei ni mil 250 karibuni..
  9. mama jason

    Asus phones

    Habari wanajamii naomba kama kuna mtu anafahamu bei ya simu aina ya ASUS PADFONE INFINITY 2 ahsante
  10. mama jason

    Nyumba ya kupanga

    Habari wana jf,natafuta nyumba ya kupanga yenye vyumba viwili vya kulala ,sittingroom,choo na jiko bajeti yangu ni 250000 tu.kwa anayefahamu zilipo naomba anijulishe
  11. mama jason

    Kuuza vocha za jumla

    Habari zenu wanajamvi naombeni msaada wenu mnijuze nataka kuaza biashara ya kuuza vocha za jumla je niende wapi na natakiwa niwe na vigezo gani.thanx
Back
Top Bottom