Search results

  1. E

    Hivi msimamo wa Serikali ni Upi kuhusu Kuandikwa kwa Katiba Mpya?

    Leo nilipokuwa napitia blog ya Issamichuzi nilikutana na habari za Mkuu wetu wa nchi kuwa mgeni rasmi kula Marekani kwenye ufunguzi wa mkutano mkuu wa tatu wa chama cha watanzania waishio huko kwa jina la DICOTA. Mhe. Kikwete alitoa hotuba yake kwenye mkutano huo. Pamoja naye, alikuwepo pia...
  2. E

    Heko M. M. Mwanakijiji kwa makala (gazeti la Mwanahalisi)

    Kwa vile sina mahali pengine pa kusemea na kuweza kumpongeza ndugu M. M. Mwanajijiji kwa makala yake aliyoandika kwenye gazeti la Manahalisi la tarehe 9 Desemba 2009 yenye kichwa cha habari "Kikwete amekwishafanya uamuzi mgumu", napenda kutumia fursa hii kumpongeza Mwkjiji kwa kazi ambayo ni...
  3. E

    Hii ni haki?

    Beno Ndulu aikingia kifua mikopo ya watumishi BoT. Je, hii ni sahihi?
Back
Top Bottom