Search results

  1. Bisansaba

    Kiswahili chatambulika na kampuni ya Walmart Marekani

    Yes, nakumbuka hii kazi niliifanya, kwa upande wa tafsiri ya Kiswahili.
  2. Bisansaba

    English learning thread

    Awesome, charles177 but I think 'Where you are' is correct English phrase if used in the right context, as in "You can just do it from *where you are*" Thanks!
  3. Bisansaba

    Mfasiri mmoja wa Kiingereza/Kiswahili anatakiwa.

    Mkuu nipo, let me know kama hujampata mtu bado.
  4. Bisansaba

    Magufuli atumia lugha ya Kiswahili kwenye hotuba ya kumkaribisha PM wa India

    Sidhani kama upo serious mleta mada!
  5. Bisansaba

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Nimejiunga na kifurushi cha university, lakini naambiwa sina data. Vodacom Tanzania
  6. Bisansaba

    Mimi ni mwalimu nahitaji shule ya binafsi

    Mkuu waalimu wanahitaji hapa Shule Direct
  7. Bisansaba

    Maandalizi ya Uchaguzi: Bati na saruji bei chini!

    Kwa Musoma cement na bati ni bei gani?
  8. Bisansaba

    Kwa wahitaji wa mwalimu wa Physics

    Bado unapatikana kwa somo la Physics?
  9. Bisansaba

    Mwalimu wa Physics na Mathematics

    Mkuu bado unapatikana kwa somo la Physics?
  10. Bisansaba

    Urgent: We need Swahili to English translators

    kanyagio; Translation quotation doesn't look that way, translators are normally quote either per word or per page but not per number of pages. You should consider this in the next project if you really need serious and qualified linguist.
  11. Bisansaba

    Urgent: We need Swahili to English translators

    I normally charge 0.07USD/per source word (minimum). Minimum fee 25USD, and 25USD(minimum) hourly rate. Kwa wabongo huwa naanzia sh.100/neno na 25000/ukurasa. Hawa jamaa hawalijui soko vizuri. Hizo bei mi sijazielewa
  12. Bisansaba

    Pita hapa tafadhali; ninahitaji msaada wako

    Uwezo wako katika hizo skills hasa translation ni wa kiwango gani? Na umejiandaa kufanyia kazi ujuzi upi hasa utakapoingia mtaani? Umeshachunguza soko lake? Unaona matumaini ukiwekeza nguvu zako huko?
  13. Bisansaba

    Searching for a full/ part-time teaching position

    Are you able to provide high quality English educational content for O'level as per National Curriculum/Syllabus? Do you have such experience? Have you ever written any 'desa' for English learners (o'level students)? OR Have you ever provided any educational content to any education company? If...
  14. Bisansaba

    Ninaweza kupata Affidavit ya Mzazi kwa Mwanasheria?

    Mkuu Ty_Vigilante, hapo kwenye mkolezo ni mwanasheria wa aina gani, unaweza kunifafanulia? Asante.
  15. Bisansaba

    Ninaweza kupata Affidavit ya Mzazi kwa Mwanasheria?

    Habari ndugu Wanasheria, Nilikuwa najaribu kukusanya viambatanisho vinavyohitajika kwa ajili ya kukamilisha maombi ya hati ya kusafiria, sasa kiambatanisho kimoja (Affidavit ya Mzazi) ambacho ni muhimu bado kinakosekana. Nilikuwa nafikiri naweza kupata huduma hii mahakamani pekee lakini kwenda...
  16. Bisansaba

    BAKITA: King`amuzi si Kiswahili sanifu

    Katika uundaji wa maneno ya kiswahili kuna viambishi vinavyotumika kuunda neno jingine. Viambishi hivyo vinapotumika na na kuzalisha neno lenye kategoria tofauti basi hicho kiambishi tunakiita kinyambuo. Sasa turudi kwenye neno lenyewe 'simbua' hili neno ni kategoria ya kitenzi, sasa tunataka...
  17. Bisansaba

    JKT watangaza nafasi za kujitolea

    Ndio maana jkt wanataka watu wa #kujitolea , hilo neno nafikiri linabeba uzito kidogo wa dhana ya jkt. Sidhani kama hawa vijana wa kujitolea wanakwenda huko kupewa mafunzo ili wawe wakulima wazuri au wajasiriamali wazuri. Zamani watumishi wote wa umma ilikuwa ni lazima wapitie huko, kwa nini...
  18. Bisansaba

    JKT watangaza nafasi za kujitolea

    Wow, this is good range! Ngoja nifikirie tena.
Back
Top Bottom