da, wadau mko juu. naomba msaada pia kuna jamaa nlifanya naye kazi, nikamkabidhi aendeshe Bajaji,ndani ya wiki akaondoka na 40000, na tairi sh 80000 na spanner 20000. yangu 2014 October, namdai kiheshma hanielewi.
sheria inasemaje?
Safi sana mr. Mparee! nyongeza hapo kidogo. Wengine huweza kuchelewa zaidi ya miezi 3 yaani 4 hadi mwaka mzima au miaka. Hasa DeP (sindano) hweza kusababisha mwanamke asipate ujauzito hata baada ya miaka 6 na kuendelea kwani sindano zinachofanya ni kuua kabisa mayai na kuathiri mfumo wa uzazi...
ok! ni tatizo dogo hili usiwe na presha. ni sawa kama alivyosema mmoja wa waliotangulia kuwa ovulation ni siku (around 14 days).
Jambo la kufanya ni kuwa weka uwezekano wa kupata mimba bila tatizo. Fanya hivi: hesabu siku 14 ukianzia na siku ya kwanza ya kupata hedhi (siku ya hedhi ya kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.