kwa wale walofanikiwa kujiunga na chuo kikuu cha dodoma (udom) especially college of education kama una swali tupia hapa tukusaidie wenyeji wa ng'ox tupo guyz
ukifanya second round applicatio automatically hiyo ndo course utakayo isoma thats why unapewa nafasi moja tu!
na mfumo unaotumika ni kila nafasi inavyoombwa na mwombaji akafanikiwa basi slots zilizokuwepo zinapunguzwa pale pale kama zilikuwa 100 basi zitabaki 99 kwa kigezo kwamba soon zile...
kwa matokea ya sasa mtu mwenye ufaulu wa DDF anauwezo wa kupata chuo kwa sababu hapo tunapata point 2 ambapo hicho ndo kigezo cha chini kabisa kupata chuo according to Tcu guidebook
kwa mujibu wa tcu guide book kinasema kwa mtu aliyesoma combinations za art ili apate mkopo lazima awe na point 4 and above kwa hayo matokeo point nne zinafika cha msingi kumwomba mungu amsaidie apate kwasababu vigezo anavyo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.