Search results

  1. K

    Bungeni Live: Juni 3, 2012 [Morning Session]

    kuna mbunge amemkosoa mwigulu kuhusu nukuu yake kwenye kitabu cha kambi ya upinzani, kuwa walimu wote wa primary wanafanya biashara mashuleni badala ya kufundisha ,mmbunge wa upinzani amemkosoa akamwmabia arudi shule tena darasa la kwanza , mnyika kamtoa nishai na kufuta kauli yake
  2. K

    Bungeni Live: Juni 3, 2012 [Morning Session]

    huyu jamaa siuji kalogwa yeye na chadema tu, akuna anachofanya zaidi ya kukusoa chadema anamfanya mwenyekiti mapofu yanamtoka mdomoni hahahahha
  3. K

    nimeshapata

    hongera fanya chap chap maana mjini chelewa chelewa ...............
  4. K

    Ajali yakutisha yatokea Tegeta njiapanda ya wazo

    poleni wafiwa na mwenyezi mungu awape nafuu majeruhi wote
  5. K

    Mbowe aungana na Mnyika kusema serikali ya Kikwete dhaifu

    Mbowe kasema wabunge waheshimiane na hasa wa gamba maana badala ya kuchangia hotuba ya bajeti wao wanatoa kashfa na kejeli na wabunge wa upinzani na wakijibiwa waupinzani wanaonekana hawana nidhamu, nidhamu ipo kwa aliyetoa kashfa na kejeli. Amemtaka spika hata adhabu ikitolewa isiangalie...
  6. K

    Ngeleja achafua hali ya hewa bungeni

    Nimefurahi sana Halima Mdee yeye kafunga kabisa kamwambia ngeleja tatizo unatoroka bungeni sana na ndio maana hujui kitu tumeshamaliza hayo siku nyingi tatizo lako ni HASIRA ZA KUTOLEWA UWAZIRI
  7. K

    Picha Arumeru watu wakishangilia

    haya lusinde katukane tena
  8. K

    Malipo ya Mamilioni Parastatal Pensions Fund (Invoices): Rewarding and Defending Corruption

    yaani sijui hata niseme nini, kuna watoto hawjui shule ni nini? kuna watanzania hawajua kesho itakuaje, wajawazito na watoto wanapoteza maisha kila siku kisa dawa na matibabu finyu yaani ni mengi mengi sana, sasa unaposikia upuuzi unaoteka hapo PPF natamani sijui hata mmmmmmmh, kuna haya ya...
  9. K

    Jeshi La TZ limejifunza nini MISRI?

    hivi hujui jeshini ufisadi ndio kwao, hayajaanikwa tu hayo ya dowans madogo ndugu sasa waachie tu muwatoe madarakani ili mfukunyue ya kwao mmmmh ngumu sana
  10. K

    Ni kweli Anna Makinda ni 'Mbabe'?

    Anahisi wapinzani wanataka kumchezea, hisia tope hizo. Na yeye anataka kwenda na kiwango cha aliyepita dooo itakua ngumu sana ajui amewekwa na mafisadi na mwisho anataka kuwanyamazisha wapinzani mapema mmmmh sijui kama atafanikiwa.
  11. K

    Lady gaga

    jamaaaa amekuambia sariboko we ujui sariboko?
  12. K

    Bunge la Miongozo ya Spika, Jee Mhe, Spika ni Dhaifu, Dikteta au?

    wale wale tu toka akiwa naibu spika akisimama mpinzani anakunja uso we fikiria hapo alivyo kama kakunja uso jeeeeeeeee akikunja uso hahaha
  13. K

    Eti 'kuoa' ni gia babkubwa inayong'oa visiki vilivyoshindikana?

    siku hizi hawataki sana story wao moja tu money on the table ............ on the bed
  14. K

    Kama noma na iwe noma!

    ka 4wheel kanapatikan ila suzuki model ya zamani naana ya 1996 mpaka 98 kwa kuagiza iatakutafuna kidogo kwa sababu in kodi zaidi ya 4 hiyo new model yake yaani ya 2001 imekomaa bei kidogo bajeti yako pungufu mkuu. mi nakushauri ingawa umesema hupendi garizinazofana na taxi nunua toyota corrola x...
  15. K

    Eti Badra Masoud wa TANESCO ametimuliwa katika post ya PRO?

    labda kwenu kimbiju ndio shida ya umeme imeisha kwa tanzania hii uliyopo na wewe tatizo bado kubwa sana siasa ndio zilizobaki
  16. K

    Nokia Yatoa Simu Zinazochajiwa na Baiskeli

    kwa kweli safi sana tutawasiliana na ndugu zetu huko vijijini kwa urahisi sana
  17. K

    Hamad Rashid vs Freeman Mbowe=mt kilimanjaro vs kichuguu

    huu mdahalo mimi nimeufatilia toka mwanzo mpka mwisho tuweweke ushabiki mbali kabisa kumsimamisha mbowe katika mdahalo ule ilikua haifi kabisa kwa sababu zifuatazo moja mbowe miaka mitano iliyoisha hakuwepo bungeni na maswali mengi yaliyoulzwa pale yalikua yanahusu ushiriki wa upinzani bungeni...
  18. K

    Mpenzi wangu ananipa dozz ndogo

    kama unaishi naye nini unataka zaidi kila siku tuuuuu unajua kama hilo moja ni la ufundi linatosha sana tu kama ni la dk 5 jitahidi kumuhamsha hisia tatizo lenu mnakaaa kama magogo tu zidisha mautundu sana dada, ila mshindo wa tatu ni karaaa na wala usiupende ni kuchoshana sana tu ok
  19. K

    Mjomba Muhidin Maalim Gurumo ni Mgonjwa;

    pole mzee gurumo ila habari nilizosoma asubuhi hii kutoka michuzi ameshatoka ICU na anendelea vizuri Mwenyezi Mungu ampe ahueni zaidi
  20. K

    MAPICHA ya T-Pain na “Gyptian” STR8 Muzik Festival katika Inter-College

    do ilikua ni balaaaaaaaaa, hizo number tatu hapo acha jamaa atoe mimacho ni haki yake do
Back
Top Bottom