Wavulana mna shida sana, mwanaume hata akutwe kifuani akipewa nafasi ya kushuka tu basi ujue aliekua kifuani sio yeye. Sasa wavurana issue ndogo unakuja kulialia hapa
Kwa hiyo unataka dogo aishi Kwa kusubilia kiinua mgongo au? Watu wengi wanaofanikiwa hua ni risk takers kinyama. Watu waoga huishia kuwa wachawi na fitina.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.