Search results

  1. F

    Kinana na Nape kukagua na kuzindua miradi ya serikali ni haki?

    Hahari wana jamii, Samahani naomba kusaidiwa kujua, uhalali wa Kinana na Nape nauye kufanya ziara ya chama cha CCM huku wakikagua miradi ya serikali Jamuhuri ya muungano, Hivi kweli viongozi wa chama cha siasa hata kama kipo madarakani wanaruhusa ya kukagua miradi ya serikali na kuwawajibisha...
  2. F

    Kimbilio la madhara hasi kwa tanzania

    Kumekuwa na mtazamo hasi kwa viongozi wa Tanzania, kila jambo wanalitazama kwa madhara hasi tu na kusahau madhara chanya, mfano uraia wa nchi mbili wanakuambia Amani itavunjika, CHEDAMA na CUF wakifanya mikutano na maandamano Amani itavunjika, Serikali tatu Amani itavunjika na jeshi litachukwa...
  3. F

    Tushikamane kuleta ushindi

    Ndugu mabibi na mabwana habari zenu, niwakati wa kushirikiana kwa pamoja ili tuweze kuleta mabadiliko kwa taifa letu, hebu tembelea link hii hapa chini na umuwezeshe kijana wa kitanzania kutimiza malengo ya ukombozi kwa vijana...
  4. F

    Udhaifu wa bunge la katiba

    Ndugu zangu watanzania, wazanzibari na watanzania wa makabila yote poleni na makumu ya kila siku, na poleni na kufatilia bunge la katiba ya Tanzania. Binafsi ni mmoja wenu. Wabunge maalum wa katiba wameecha jukumu lao la kuunda rasimu ya katiba itayokwenda kwa wananchi ili kupigiwa kura kwa...
  5. F

    CHADEMA na CCM ndo vyama vya siasa Tanzania

    vyama vya chadema na CCM ndo vyama vya siasa nchini kwetu, vyama hivi vimekuwa vikishiriki changuzi mbalimbali kwa ngazi zote, CHADEMA leo kimekuwa chama pekee cha upinzani hapa kwetu tanzania, kwa mujibu wa maana ya mfumo wa vyama vingi vya siasa ni kuwepo ushindani wa kushindania kushika dola...
  6. F

    How To Start Your Business Without A Loan

    How To Start Your Business Without A Loan Interested in starting your own business but hesitant to take out a huge business loan? While it can be difficult to start a company with little capital, it is absolutely possible. In some ways, it can even be less risky and less complicated. Here are...
  7. F

    Jezi za mbeya city na azam fc

    wadau kwangu hili mi linanishangaza, kama upo unaangalia mechi ya azam na mbeya city utashangaa kitu kimoja ukaribu wa rangi za jezi. hivi timu zetu huwa hazina mfumo wa jezi za ugenini na nyumbani? huwa hakuna wataalam wa jezi?, je hawakuwashauri azam kuvaa jezi zao nyeupe?
  8. F

    Vitabu vya zamani na vya sasa mashuleni

    Nilikuwa napitia vitabu vya shule za msingi vya sasa na vile vya zamani ofsin ili kupata ni kitabu kipi kinafaa kufundishia kabla ya shirika kupeleka mawazo wizara ya elimu. tumegundua kuwa vitabu vilivyokuwa vya zamani kwa somo la kingereza vilikuwa bora zaidi kuliko vya sasa na vilimfanya...
Back
Top Bottom