Search results

  1. Two ten

    Biashara ya parachichi Hass

    Habari za Leo wakuu.. Naomba kwa anayefahamu Tani 1 ya parachichi(Hass) ni shilingi ngapi? Naomba Bei ya shamba na Bei ya kutoka shamba mpaka Dar. Shukran
  2. Two ten

    Nitumie nini makovu yaweze kuisha?

    Pia fanya scrub ya mwili mzima.. scrub ya kahawa ukimaliza upake mafuta ya nazi.
  3. Two ten

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Kasema alivaa pant ya kijeshi.....na bikini nyeupe.
  4. Two ten

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    🤣🤣🤣🤣 Watu mna vituko dah!
  5. Two ten

    Kwa Wafanyakazi wote walioko Uarabuni

    Jasor Yasintajohn56 The Icebreaker Mpaji Mungu zous Dream Queen nipeni mawazo kidogo...nifanyeje?
  6. Two ten

    Kwa Wafanyakazi wote walioko Uarabuni

    Msaada kwenye tuta... Nimekua naitwa sana kwenye interview na hii kampuni Afaq Group.. Nimeitwa kama mara 4 Hivi.. niliwekaga details zangu linked in..Sasa naitwa Kila siku ila ndo hivyo sipo huko.. deadline inapita... Sasa Nina maswali najiuliza....nijilipue niende tuu?? Je nikikosa kazi...
  7. Two ten

    Wanawake leo fungukeni ni kitu gani ukikikuta kwa mwanaume au hali gani ukimuona mwanaume mzuka unakata kuzagamua?

    awe presentable (yani popote naweza kwenda nae na kumtambulisha ), ananukia unyunyu wa maana na pia yeye mwenyewe awe anajiweza..
  8. Two ten

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    INSIDER MAN njoo basi na ww...si ulisema mwanaume hasusiii....mbona sa unasusaaa? Au unataka tukubembelezeje....🤔🤔🤔🤔
  9. Two ten

    Kuachwa kunauma vibaya

    akikuacha na wewe muache.. ukiachwa achika. Tena bora uachwe kuliko upigwe matukio
  10. Two ten

    Ushauri na Msaada wa kwenda masomoni Marekani

    Sawa sawa ....nimekusoma! Asante kwa ushauriii ...
  11. Two ten

    Ushauri na Msaada wa kwenda masomoni Marekani

    Asante kaka mkubwa... Yeye ni mmarekani... Mm pia nimeajiriwa, hapa ofisini hakuna shida nitapata likizo ya mwezi mmoja
  12. Two ten

    Ushauri na Msaada wa kwenda masomoni Marekani

    Yeye anasema hajui, nimpe mfano WA hiyo barua..ndo mana nimeuliza huku...au ni vitu Gani muhimu aambatanishe?
  13. Two ten

    Ushauri na Msaada wa kwenda masomoni Marekani

    Dr Matola PhD Bufa Invigilator na wengineo, naombeni mawazo yenu... Nataka kuomba visa ya kwenda kutembea Marekani, je ni nn natakiwa niwe navyo? Barua ya mwaliko inatakiwa iandikwe nini na nn? NB: aliyenialika atasimamia show nzima Kila kitu,...so Nini anatakiwa kuambatanisha hapo kwenye...
  14. Two ten

    Nina mtaji wa Tsh Milioni 20, nataka kufanya biashara ya ng'ombe

    Ila nenda pugu kule ndo utapata Kila kituu
  15. Two ten

    Nina mtaji wa Tsh Milioni 20, nataka kufanya biashara ya ng'ombe

    Sio mm nafanya Nina ndugu ndo anafanya hayo mambo...
  16. Two ten

    Nina mtaji wa Tsh Milioni 20, nataka kufanya biashara ya ng'ombe

    Anaweza kuanza kidogo kidogo..wakachangi gari na wenzake
  17. Two ten

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Hahaaa...bado hayajakupiga rafiki.. Yakikupiga mbona utasahau kama ulishasomaga? Ndo mana hawa hawa ambao hawajasoma wanatupiga gap wasomi WA Leo..
  18. Two ten

    Utaratibu ukoje kwa Mwanamke ambaye hataki kumwachia mtoto aishi na Baba yake na anadai matumizi "Child Support" kwa nguvu?

    kupiga picha ni matokeo ya malezi mema, so Yeye atasubiri tuu za kuibia bia..maana kulea kumeshamshinda.
Back
Top Bottom