Search results

  1. V

    Wabunge waliofanya vizuri kuwawakilisha wananchi

    . Heko Tundu Lisu, Freeman Mbowe, G. Lema, John Mnyika, Zitto, Kafulila, Halima Mdee. Waliofanya madudu Bungeni Ni Mh. Steven Wasira alikuwa analala usingizi Bungeni, Rwakatare Pinda, kwa ujumla Wabunge wote wa CCM wamefanya hovyo Kazi Yao ilikuwa kuzomea na kuchekacheka hoja ikiwa inawagusa sana.
  2. V

    Mungu wangu! Siamini kama ile ni kondoa

    Inaudhi sana pale watu wanapokuamini na kukupa kura uwatetee halafu unaenda Mjengoni unaungana na wapumbavu wengine na kupoteza muda mwingi huku mkibishania POSHO ZENU ZIONGEZWE NA MTU ASISUBUTU KUFUTA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! kufaa kwake kupo wapi??????
  3. V

    Mwandosya na Lipumba wafanyiwa upasuaji India

    Prof. Mwandosya sio Prof. Mwakyusa
  4. V

    Selikali ya ccm yachukuwa maamzi magum

    Serikali ya CCM ingependa sana kufanya MAAMUZI MAGUMU Lakini hakuna PRESSURE YOYOTE KUTOKA KWA WENYE UFAHAMU AU WANAOGUSWA NA MATATIZO HAYO. Tungoje kidogo labda wanaweza kuamua kwa hiari yao wenyewe kufanya maamuzi magumu ya kutangaza kuachia madaraka yote kwa CUF badala ya ndoa waliyonayo...
  5. V

    Taarifa ya chama cha wananchi cuf kwa vyombo vya habari kuhusu mgao wa umeme

    CUF itisheni maadamano Serikali iondoke madarakani imeshindwa na haitaweza kutatua tatizo la Umeme. Fedha zipo tena nyingi mno ltatizo ni serikali ya CCM haina watendaji wenye uwezo kufikiri na kuwa creative "WOTE WALIOKO SERIKALINI NI WAVIVU WA KUFIKIRI"
  6. V

    Lowassa aunguruma Bungeni: "Bora kufanya maamuzi na kulaumiwa, kuliko kutofanya!"

    Nafurahi saaaaaaaaaaaana waache ccm waendelee kulikoroga na kupaka lipustiki wakati wenzao wanasoma vitabu na kuchukua mawazo ya kujengea hoja. Mh!!!! Ccm inazuia maji ya mafuriko kwa mchanga: Sikiliza tu hoja za nape mkuu wao du!!!!
  7. V

    Shibuda aishangaa demokrasia ya CHADEMA

    Shibuda ni Picha hailisi ya CCM. Mawazo mabovu ya shibuda na Roho ya Upumbavu vimemjaa hata hawezi tena kufikiri. Tunachotaka HERI KUKATAA POSHO HATA KAMA NI KWA UNAFIKI. SISI HATUHITAJI UTAKATIFU WA WA CHAMA BALI KUIONDOA CCM. CHAMA CHOCHOTE CHA UPINZANI KISHIKE NCHI HATA KAMA NI KIPINDI KIMOJA...
  8. V

    NCCR nao wakataa posho za vikao Bungeni

    Tatizo lako umetumwa kutetea hoja. Lakini untetea bila kusoma. Hata hizo 70,000/= bado Ni nyingi sisi tunajadili namna vyanzo vya kupunguza umasikini, mojawapo Ni kupunguza maposho. Wabunge wengi wa CCM ni wakomavu hadi wamegeuka wamekuwa MAGAMBA. Ahaaaaaaaaaaaaaa!
  9. V

    Hotuba ya upinzani kuhusu mpango wa taifa wa maendeleo wa miaka 5

    Wewe kweli una Ugonjwa na Uvivu wa Kufikiri, umeshindwa kuelewa haya machache je yakiwa mengi utafanyaje. Utadhaji umebeba Uelewa wa JK. Acha kudanganyika CCM wezi wana Ufinyu wa kufikiri si wabunge tu bali pia mawaziri na mat´katibu wakuu wa wizara.
  10. V

    Mahakama yatoa Amri Askofu Mokiwa na Wenzake wakamatwe kwa kutotii mahakama!

    Mahakama za Tanzania ni shirika la Binafsi, huko kumeja majitu Pungwani kabisa, gelesha na usanii ndiyo sheria yao. Tangu lini unaagizwa na watu watátu kutosimikwa Askofu aliyechaguliwa na mamia ya watu. Hao watatu ndiyo kundi la mafisadi. na Ukiwachunguza utagundua ndiyo wezi na watoa Rushwa...
  11. V

    Wabunge wanaolipa uhai Bunge la Jamhuri ya Tanzania

    Bunge Daima linakuwa hai pale Upinzani unapokuwa na nguvu, Hata mabunge ya nchi zilizoendelea chama tawala kinapata wakati mgumu pale wapinzani wanpokuwa na hoja zinazogusa Wapiga kura wao lakini sio kama Wabunge wa SISI-EMU wanaotetea maslahi yao wenyewe. Badala ya kutoa hoja wana kejeli hoja...
  12. V

    Who is IGP Mwema? CV Please!

    Said Mwema yupo pale na amewekwa pale kama Mbwa wa kufukuza wezi, lakini wakati mwingine ili aonekane anafanya kazi huwafukuza hata marafiki wa mwenye nyumba. Huyu jamaa hafai kabisa Heri Jeshi lisilo na Kiongozi kuliko kuongozwa na Mwema.
  13. V

    Barua: Zitto akataa posho za vikao

    Kwanza Ni jambo La aibu, umukaa kikao kupanga namna ya kutafuta pesa na kuboresha sekta unataka ujilipe mipesa nabado mwisho wa mwezi unapta mshahara mkubwa kwa kusoma mafaili uliyoandika mwenyewe kwa msaada wa secretary wako. Huuni uwizi mkubwa acheni wizi huo. Igeni nchi za wenzeni...
  14. V

    Lowassa ni kama Jacob Zuma?

    Lakini naye Lowasa Ni mwoga kujitetea. Toka abebeshwe zigo La ufisadi hajaeleza Watanganyika wenzake kuwa kinachesemwa kuhusu ufisadi nani muhusika mkuu. Yeye si Yesu kujitoa kafara kwa wenye dhambi. Asimame kama shujaa aseme anahusikaje katika kuihujumu Tanganyika Au La! Ndiyo tumjaji yeye Ni...
  15. V

    SERENGETI HIGHWAY-Mr President take my advice

    First of all Thinkers, we must think the Advantage and disadvantage of Serengeti to the people of Tanzania. Then we can go on to discuss the matter. The outsider especially the western are always nagative the good things for the people of Africa.
  16. V

    Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio

    ukiona cdm wanakusumbua kapake poda upendwe.
  17. V

    Shukrani za ushindi wa kishindo kwa ccm

    Mwaka 2010 haukuwa uchaguzi wa raisi bali kura za maoni, kama bado Kikwete anapendwa ndiyo maana Tendwa alishangaa makaratasi ya kura yana wagombea wengi. Hivyo Kikwete haoni haja ya kuwashukuru Watanzania.
  18. V

    Maduka ya watu wa Bara yachomwa Zanzibar; yadaiwa ni kampeni dhidi ya Muungano!

    wewe una uzembe wa kufikiri, kama viongozi wanaziba masikio hawataki muungano ujadiliwe wanauona Muungano ni Mtakatifu kuliko Mungu. Kila Jambo lililoko chini ya Jua lazima kulijadili hasa pale jamii inaona kuna matatizo. Panua mawazo usiwe mwepesi wa kulaumu Muungano una kasoro kubwa.
  19. V

    Ridhwani sio Bilionea ni Milionea tu

    WATANGANYIKA acheni uoga msipende kumtetea rz1 Kana kwamba amewao au ni baba yenu. FISADI ni FISADI ili mradi anapata utajiri wake kwa njia zisizoeleweka. Yaani njia za siri, kwa nini afiche? Mtanganyika safi yule yuko tayari kueleza amepataje Mali yake.
  20. V

    JK: Anachosema Nape ndio msimamo wa chama

    HabariLeo acheni uhuni fanya kazi sio usanii kana kwamba shule yenu ni finyu na hamwezi kujitegemea, andika kile alichokisema rais sio mawazo yenu.
Back
Top Bottom