Search results

  1. S

    Okwi aibwaga Yanga

    Chezea friends of simba....wanafanya Mambo ya uhakika....bravo Aveva na your team
  2. S

    Mwenye CV ya Aveva

    Ana good experience katika medani ya soka na ni mfanyabiashara maarufu. Ataleta mafanikio klabuni maana Al shabab aka rage kawaua Kabisa...
  3. S

    Tanzania Vs Morocco

    Taifa Stars XI vs Morocco: Kaseja (c), Nyoni, Kapombe, Morris, Yondani, Domayo, Ngasa, Sureboy, Samatta, Kiemba, Kazimo to
  4. S

    Tunawakumbuka hawa wachezji? Ongezea waliosahalika

    David Mihambo, Mbui Yondani, Gasper Lupindo, Boniface Njohole, Peter Mjata, Auhumani Msumari, Msafiri Hamisi, Dan Muhoja, Razak Yuuph ( Careca), Hussein Mwakurozo, Roster Ndunguru, John MAkelele..zigzag, Zuberi Magoha, Juma Mgunda, Amour Aziz ( Malindi), Abeidi Kasabala, Juma Salum, Mohamed...
  5. S

    Mahakama ya Uingereza yamtaka Mengi kulipa Tsh 4.7bn/- ( £1.9m)

    Hiyo. Kesi imeisha juzi na hukumu imeshatolewa.http://www.thelondoneveningpost.com/mengi-to-pay-billions-after-losing-case-against-the-middletons/Ripoti na hukumu ipo kwenye magazeti zote za uingereza.No coverage in Tanzanian papers or media.
  6. S

    Coastal Union vs Simba s.c. Live updates

    Safi sana kaka....line up ni nzuri ila huyo Ochieng asije kutuangusha
  7. S

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Moro Utd hao jamaa Noma sana...Waliweka ngumu duru la kwanza, wakawakosakosa simba na leo wameweka ngumu. Ubingwa waelekea kuwa Wauza Ice-cream mwaka huu naona.
  8. S

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Wafungaji Mafisago kwa penelti Na Salum machaku. Kesho nusu fainali dhidi ya Azam.
  9. S

    Simba SC yabebwa Mapinduzi Cup

    Alafu tunabaki kulalamika timu ya taifa haifanyi vizuri.kwa soka hii afadhali tukacheze soka ya mchangani
  10. S

    TAIFA STARS: Tatizo kocha au wachezaji?

    Mfumo nzima ni mbovu kabisa.kocha na wachezaji wabebeshwe lawama. Yaani ile mechi ya jana tumeshindwa kushinda. Babu Poulsen hana uwezo wa kufundisha national team. TFF kina Tenga hawajali national team wanaangalia vitambi vyao tuu. Kinachotakiwa sasa ni kufungisha virago Poulsen, Team apewe...
  11. S

    Polisi wa kitanzania kwa kuchapa wapo hodari sana ehhhhhh AFANDE PIGA UWA

    Ndio nchi yetu ilivyobakia.hawa mapolisi wetu hawana elimu,wanaona kupiga marungu na kutunyanyasa ndio faragha.rushwa wanakula in the open daylight.I hate them.ipo siku kibao kitawageukia na siye wananchi kutawatwanga mambwa hao..
  12. S

    Live: Yanga na Simba

    ahh mpira Simba ilikuwa washinde leo..Timu nzuri ila kocha hana jipya..Nimesikia kuna mpango wa kukatisha contract yake na akarudi mserbia Milovan ambae alikuwa anichezesha simba toal football..watch this space
  13. S

    Live: Yanga na Simba

    haya tunasubiri ngoma za akina muchachos.....
  14. S

    Live: Yanga na Simba

    naona game hii itaisha 1-0....ila goli itakwenda wapi wadau????
  15. S

    Yanayojiri Kutoka uwanja wa taifa,

    Wadau tupatie Line ups ya leo...tunasubiri game kwa hamu....
  16. S

    Ulimboka adakwa kwa kutaka kumhonga Kado

    uwongo huo
  17. S

    Hotel nzuri morogoro kwa mapumziko

    Jaribu Morogoro Hotel ina manzari nzuri na sehumu safi kupumzika Oasis Hotel- Station Road
  18. S

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Okwi kaenda uganda na owina yupo dar.witw wanayo mkataba mpaka 2012 kwa hiyo kanda mbili hawana ubavu kuvunja mkataba na nilikuwa na kassim dewji juzi na kama kuuza wachezaji tutawauza ulaya na siyo tanzania.ila okwi hatujui mambo yako aje maana simu yake haipatikani lakini wanajamii hao...
  19. S

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Inshallah mungu atatusaidia.nimewasili harare leo na timu iko ktk hali nzuri pamoja na wenyeji kutufanyia njama mambo ni safi.kassim na mulamu wanahakikisha kila kitu ipo as plan.mtandao iko sllow lakini tutajaribu kuweka matokeo humu.
  20. S

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Kaka endelea kuota.... Sahau ubingwa kurudi Jangwani...tayari wachezaji wenu wameshanza kuomba kusajiliwa Msimbazi ili wakapige soka na Timu kubwa Barani Afrika maana nyie mnishia 1st Round tuu..abu tupu Kanda2..Hatutaki uozo wenu msimbazi tunayo strong youth team...
Back
Top Bottom