Walianza kufuta udambwi udambwi! wana tumeanza libeneke upyaaah..Mara Paap! hamad! togwa limeingia inzi, Paka Shume lilikotokea ati anadai hajui shida?? lo salaleeeh, hivi kuna kiumbe hajui shida? "hata kufatilia nyuzi za watu nayo ni shida pia" .wana tuendeleze libeneke na maudambwi udambwi kwa...
hapa nyumbani kwetu wapangaji wamenuniana kisa siasa,kukicha vijembe,mipasho mpaka imekuwa bonge la soo..jana baada ya magufuli kutangazwa mshindi kuna mama aliweka ule wimbo wa ccm mbele kwa mbele weee!...bro na mimi 2po UKAWA basi kwa hasira bro kazima umeme nyumba nzima na katia mkwara ole...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.