Search results

  1. Southgate

    Kwa wanaofahamu uimara na Mapungufu ya za Peugeot

    Habari Wakuu, Nimevutiwa sana na hizi gari za Peugeot, naomba kupata taarifa kadhaa kuhusiana na hizi gari ikiwemo uimara wake na upatikanaji wa vipuri (spare parts) zake kwa hapa Tanzania.
  2. Southgate

    Je mgonjwa anahaki ya Kumshitaki Daktari / Muuguzi / Hospitali

    Habari wa kuu, Kwa wenye weledi na Maswala ya Sheria na Matibabu hapa kwetu Tanzania , Je mgonjwa anaweza kumshitaki Daktari / Muuguzi / Hospitali endapo atapata madhara yaliyo sababishwa na uzembe wa Daktari / Muuguzi / Hospitali? .
  3. Southgate

    Msaada wa kiwango cha mshahara

    Habari wakuu, naomba msaada kwa yeyote anayejua salary scale za KIWOHEDE anijuze wameniita kwa usahili tar 28 mwezi huu.
Back
Top Bottom