Search results

  1. K

    Wafanyakazi wa TRA Geti no. 5 waswekwa ndani mchana huu

    Mimi najuta ni kwanini kura yangu sikumpa huyu jpm nikasumbuka kupanga foleni kumchagua jizi na fisadi mkuu no. 1
  2. K

    Baada ya kusoma makala yake nikaisaka CV ya Njelu Kasaka

    Njelu Kasaka nasikia kaangushwa tena kwa Mara ya 3 Jimboni Lupa!
  3. K

    Waziri Membe kuzungumza na waandishi wa habari leo saa 5 asubuhi ukumbi wa Mwl.Nyerere

    Allan kiluvya wewe ni mtumishi wa foreign affairs?
  4. K

    CCM Mbeya hakieleweki, kumechafuka

    Huyo anaye mchafua Mhe, Zambi ni Huyo anaye jifanya kamkaba koo kumbe anajitekenya mwenyewe. Zambi ubunge atashinda na ndio maana Mtela aliamua kujisalimisha. Huyo Mwenisongole ndio anaye hangaika na makundi ya Urais leo kwa Lowasa kesho kwa Pinda mara kwa Wasira. Mwenisongole ni Sheeeeedah...
  5. K

    CCM Mbeya hakieleweki, kumechafuka

    Ccm mbeya chini ya uongozi wa Mhe, Zambi Stabilise sana. Rejelea chaguzi ndogo za Udiwani Mbeya Santilya na Malindo CCM ilifanya vizuri.
  6. K

    Kama hujaona taarifa zako za mkopo niulize nikusaidie

    Please mkuu naomba msaada uniangalizie S1361.0032.2011 DIANA MWAKIBINGA
  7. K

    Kama hujaona taarifa zako za mkopo niulize nikusaidie

    DIANA MWAKIBINGA please mkuu niangalizie
  8. K

    Kama hujaona taarifa zako za mkopo niulize nikusaidie

    Mkuu Canto nakusubiri chief huyo ndo hawa fresh hivi ni 2011 au 2012?
  9. K

    Kama hujaona taarifa zako za mkopo niulize nikusaidie

    Msaada mkuu ni checkie BEATHA JOSEPH S0201/0018/2011
  10. K

    Viongozi wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya muda huu katika ukumbi Canival Night Club.

    Inasemekana wapo wanapanga maandamano yaliyo tangazwa na Mbowe siku ya Birthday yake. Vijana wengi tunao hapa tunawachora wanasema waandamane kwanza wao na familia zao ndipo wao watawaunga mkono. Wengine wanasema Dkt Slaa apeleke kwanza pesa alizo muahidi mjane wa Mama Mwangosi ndipo aje...
  11. K

    Wassira ategua bomu la Lowassa linalosubiriwa kulipuka

    Hakika wasira ni mzee wa mpango mkakati unao tekelezeka,
  12. K

    PAUL MAKONDA Awageuza vijana wa CCM walioko MSASANI Club kuwa omba omba

    Nasikia wewe umewekwa kinyumba na Makonda huko Dodoma, shame on you!
  13. K

    PAUL MAKONDA Awageuza vijana wa CCM walioko MSASANI Club kuwa omba omba

    Ungeanza wewe kuonyesha matumizi ya nukta kwenye sentensi yako walau hata mwishoni mwa maelezo yako.
  14. K

    PAUL MAKONDA Awageuza vijana wa CCM walioko MSASANI Club kuwa omba omba

    Hadi hivi sasa walio bakia pale Msasani Club wanashindwa tu kuondoka kwasababu wengine hawana nauli. Makonda kawakimbia baada ya kwenda Mwanza kumfuata mhe, Membe. Walio changia semina hiyo ni pamoja na January Makamba 800, 0000 Naibu waziri wa Fedha Zanzibar 500, 000 Mzee Mangula 1, 000, 000...
  15. K

    PAUL MAKONDA Awageuza vijana wa CCM walioko MSASANI Club kuwa omba omba

    Sio Ukawa muulize Bi. Regina Ngege wa Manyala mwenyekiti wa UVCCM ambaye ameondoka baada ya kuona wanadalaliwa na Mchumia Tumbo Makonda
  16. K

    PAUL MAKONDA Awageuza vijana wa CCM walioko MSASANI Club kuwa omba omba

    Yule kijana mchumia tumbo wa CCM aliye shindwa vibaya ha mwana Dada Mboni Mhita amewakusanya vijana wa Lumumba wapo pale Msasani Club kwa madai kuwa wanafanya semina, kinacho endelea pale Makonda anawaita viongozi mbali mbali kwenda kuwezesha semina hiyo mwishoni anawaambia tunaomba chakula kwa...
Back
Top Bottom