Search results

  1. Songoro

    Hivi baada ya BMK, mzee Samwel Sitta bado anautaka urais au amebadili wazo

    Taifa limeshakubaliana kuwa Lowassa atosha acheni kujadili upuuzi.kwa Kuwa mzee Mkapa hawezi kurudi Ikulu tumeamua kukabidhi ikulu kwa Pacha wake kiutendaji ambae ni Mstahiki Rais wa Tano Ndugu Lowassa.
  2. Songoro

    Hujuma kubwa kufanyika kabla ya 2015

    Ndugu wana JF Utawala wa Awamu ya Nne unakaribia kufikia ukingoni na kama ilivyo kawaida ya awamu zote matukio kadhaa makubwa ya Hujuma hufanyika ili kuficha/kufunika maovu yaliyofanywa ama na watawala wenyewe kama vile Ma Rais au viongozi wengine wakuu au wasaidizi na watumishi wa kawaida wa...
Back
Top Bottom