nawe muda mwingine uwe unafikiria na kuchunguza kabla ya kuchangia. unahakika paediatric dentist inatolewa kwa mwaka mmoja?
una hakika ndio yeye tu aliyepata admission uk? hoja ilikua why kumfadhili mtoto wa mwenye uwezo wa kusomesha ,tena uk ambapo ni expensive sana,huku watanzania zaidi ya 100...
hili ndilo tatizo letu watanzania. tunashawishika kirahisi na maneno na mbwembwe za wagombea. wanaoongea vizuri wametusaidia nini? hatuwezi kuangalia rekodi za utendaji za wagombea ktk nafasi zao walizowahi kuzishika?
kweli,baraza hilo ni kubwa sana kwa Zanzibar.Nafkiri still hatuna mikakati ya kuleta maendeleo. Just tuna tengeneza ajira tu. Nchi kama Ufaransa ina mawaziri 6 tu.Leo zanzibar ya wapiga kura laki nne ina wabunge zaidi ya 50 nafkiri, wawakilishi kibao, mawaziri 16..........hadi mifugo imeundiwa...
Nilivyomuona Shariff Hamad akiyapokea matokeo na kutoa pongezi kwa Shein, ilikua kama alishayajua matokeo muda mrefu tu..... Na ukiiangalia picha hii (toka michuzi blog) Mshindi na mshindwa wakishangilia pamoja imenishangaza sana.sijawahi kuona mshindwa akimsaidia aliyeshinda kushangilia...
Ametoa mfano kuna jimbo alipata kura zaidi ya elfu kumi lkn NEC wametangaza amepata Elfu tatu......Hii ni kwa mujibu wa matangazo ya BBC. Nafkiri DR slaa ana Hoja ya msingi na kama NEC wanajiamini kua wamefanya kazi yao kwa haki sioni haja ya kuogopa. Wanachotakiwa nikujibu Kwa hoja with evidence
Moto wake utaujua Bungeni. Hapo ndo utajua ni betri za mchina au???? Kikosi cha wapinzani kinachoingia bungeni nguvu na effect yao ni sawa na
( ) X 100 ya wabunge wa CCM walioingia kwa ajili ya kupata Posho na Kulinda biashara Zao.
Siyo tunagombea nafasi ya pili.Ila wasema ukweli. kama embe sema embe si unabadilisha unaliita chungwa. Watanzania tumezoeshwa kusema uongo mpaka tumeona kua ndio life style tunayotakiwa kuishi. Inasikitisha kama ndugu unaona hakuna effect ktk kureport takwimu za uongo.
Hongera Tindu lisu! Kazi kubwa ni kuiendeleza hii nchi kwa rasilimali zetu wenyewe pasipo kutegemea misaada toka nje yenye mashart ya kuuza utu wetu na uhuru wetu kama wafanyavyo CCM. Naamini utaendeleza harakati zako za kudai haki kwa uhakika ukijua nini unachokidai.ALL THE BEST KTK KULIJENGA TAIFA
Hongera Mh Myika. Kazi ni moja tu ya kurudisha nidhamu katika utendaji wa kazi wa serikari. Watu waone utendaji si kusubiri kupewa ahadi tu.......People's power!!!!
Nchi haina plans. Sijui tunafanya sensa za nini? Mi nilifikiri sensa inatuwezesha pia kujua jinsi population inavyoongezeka na ku-project population yetu kwa miaka ya mbele.so kama tungeitumia vizuri tungejua mapema jiji linahitaji barabara za kutosha,at least zinazopitisha magari nane kwa...
kaburunye umesema! japo ana uhuru wa kuchagua amualike nani,but waswahili walisema ndege wafananao huruka pamoja. Hapo alialika watu wa ku-party tu! happy b'day
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.