Search results

  1. S

    UKAWA hamkujipanga kwa ajili ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba

    Hotuba yake kichefuchefu
  2. S

    Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Ushindi ni wetu wana CCM hata kwa goli la mkono sisi hakuna nyomi wala nini Mungu ibariki CCM Mungu mbariki rais wetu Magufuli
  3. S

    Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Acheni ujinga nyie mie nipo uwanjani pamepooza sana bora sisi tulikuwa na wasanii wengi wenye mvuto na palipendeza sana leo bored bora nijiondokee zangu
  4. S

    Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Ccm hamtuwezi sisi hamtatufikia mafuriko naona bado peupe
  5. S

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Acha kuchanganya habari za soka sisi tunafuatilia sera za chama chetu
  6. S

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Hii nyomi imevunja rekodi leo Magufuli tayari Rais jamani
  7. S

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Tayari Magufuli Rais kwa mtazamo wangu nani anabisha asipokuwa rais mnifukuze nchi hii ya Tanzania
  8. S

    Salome Mwambu achafua hali ya hewa mbele ya katibu mkuu wa CCM

    Katika hali ya kushangaza kwenye ziara ya katibu mkuu wa CCM leo hapa Nkungi wilaya mpya Mkalama, mbunge wa jimbo hili Salome Mwambu achafua hali ya hewa baada ya kuzomewa na wananchi na akaanza kusingizia amefanyiziwa na mwenyekiti wa CCM mkoa Mgana Msindai. Kadri alivyoendelea kuwaelezea...
  9. S

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nipo Kiteto Ajira mpya ya 2014 ni mwalimu wa sekondari njoo Kiteko ili mimi niende wilaya ya Mkalama Singida
  10. S

    Majina ajira za Ualimu 2014 haya hapa

    Naomba kuangaliziwa Monica Jonathan Grade A
  11. S

    Majina ajira za Ualimu 2014 haya hapa

    Tlatlaa ng'ayda naomba kuangaliziwa nimepangiwa wapi Stashahada
  12. S

    Majina ajira za Ualimu 2014 haya hapa

    Naomba kuangaliziwa jina langu Singofu M. Robert grade A
  13. S

    Ajira walimu wapya

    Tuvute subira walimu wenzangu kuanzia tar 15 ajira zitakuwa hewani
Back
Top Bottom