Search results

  1. Ndugu yangu

    Mikopo ya hazina, Maafisa Utumishi wanaomba 10% ili waweze kupitisha

    Umeongea vizuri, mtoa mada siyo muungwana, amejaa hisia na sidhani kama ameomba Anasema mkopo unatolewa kupitia portal, sasa waombaji kuitwa kwa ajili ya semina anaona ni mpango wa kuombwa rushwa, utaombaje kupitia portal bila kupewa semina? Hongera kwa kutoa ushuhuda kuwa hakuna rushwa na...
  2. Ndugu yangu

    RC Amos Makalla hawezi hata kutoa hotuba!

    Dada huenda wewe ni mtu poa sana
  3. Ndugu yangu

    Je, alichofanya ni sahihi kuondoka na mtoto bila kuniambia?

    Jamaa bado anakuhitaji sana ndio maana hajaona muda wote huo. Ingawa hata wewe ndani ya moyo wako bado ananafasi ndio maana hats avata yako ni turudie Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
  4. Ndugu yangu

    Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

    Wtz tumejaa tukifuatilia, hali hii inakumbusha miaka ileee 90 TV zinaingia, kama kwenu haipo watoto mnazamia kwa jiran
  5. Ndugu yangu

    Nawaza kuacha kazi, naona sihitajiki na kampuni ninayofanyia kazi

    Ni baba wa watoto wawili, kabla ya kuacha kazi watizame hao watoto na tabua kuwa wanapata chakula kutokana na kibarua ulichonacho. Kama ulivyoshauriwa hapo juu usithubutu kuacha kazi, bali anza kutafuta kazi nyingine na jitahidi iwe siri kweli hata mkeo hatakiwi kujua kama unatafuta kazi...
  6. Ndugu yangu

    Joseph Musukuma: DED Geita atafuna mamilioni ya shilingi ujenzi wa vyumba vya madarasa

    Hiyo bei pamoja na kusafirishia hadi site au ni bei ya dukani kwa mangi?
  7. Ndugu yangu

    Baada ya kuweka koma kwenye orodha ya kwanza ya Mawaziri, Rais Samia asema atatangaza orodha mpya karibuni

    Laa hatari sana, yuko tamisemi tangu lini, pia utendaji kazi wake unaupimaje mkuu?
  8. Ndugu yangu

    James Mbatia: Viongozi wengi wa Serikali wamekumbwa na upunguani wa uelewa wa mambo

    Chuma kizito chenye ncha Kali juu ya utosi wa mtoto
  9. Ndugu yangu

    EWURA: Taarifa kwa umma kuhusu bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kuanzia 1 Desemba 2021

    Kwetu huku is shapanda siku nyingi Lita moja ya petrol shilingi 3500
  10. Ndugu yangu

    Rais Samia: Askari mnalalamikiwa kushikilia leseni za madereva muda mrefu

    Kiongozi katika biashara huwezi kubagua wateja, akija CCM, CHADEMA, ACT, CUF et all amekupa mkwanja unachukua, sidhani kwa mfano dukani utakuwa unabagua wateja huyu ni adui yangu nisimuuzie hiyo siyo biashara
  11. Ndugu yangu

    Rais Samia: Askari mnalalamikiwa kushikilia leseni za madereva muda mrefu

    Ikiwa hivi faini n rushwa zitapungua, kwa sasa kila baada ya umbali mfupi kuna geti na kila geti lazima utoe si chini ya 3000 madam tu unafanya biashara ya abilia, hawajali mafuta yamepanda yaani taabu sana
  12. Ndugu yangu

    Rais Samia: Askari mnalalamikiwa kushikilia leseni za madereva muda mrefu

    Kwa sasa kufanya biashara ya usafirishaji TZ ni shida sana hasa kwa gari hiace, wanaomba leseni wakidai wanakagua ukimpa tuu kinachofata ni faini bila sababu za msingi, nchi yetu kama tutafika tuendako.
  13. Ndugu yangu

    Uhaba wa Maji Dar es Salaam: Harufu zimeanza kuwa kali maofisini na Majumbani

    Mungu ni pendo, yeye siyo Roho mbaya kila siku anatuwazia mema
Back
Top Bottom