Search results

  1. F

    Special fare dar bjm dar-567 usd tax inclusive,350 usd ow

    Hizi ni habari njema!! Tunawapongezaahusika kwa kuliona hili.
  2. F

    Tuliosoma Shule ya Sekondari Tosamaganga tukutane hapa

    Kweli Tosa Hill inatukumbusha mbali sana!!!!!!!!! Lakini hizo picha ni baada ya Muungano kuwa Mandela, pia assembly ilikuwa ikifanyika next to the Basket ball ground tofauti na ilivyo ktk picha ambapo ni mbele ya ofisi za waalimu. Na enzi zetu sisi wengine, Muungano ilikuwa roofed kwa tiles...
  3. F

    Hukumu ya Zombe: Aachiwa!

    Haki hupatikana mahakamani!!!! Zombe kapata haki kulingana na sheria na ushahidi dhidi ya mashitaka juu yake.
  4. F

    Hosea aligeuzia Bunge kibao

    Sikubaliani na hoja hii hata kidogo!!!!!!!!! PCCB hawatakiwi kufanya makosa katika kazi yao kisha wananchi tukubali. Vinginevyo ni bora ifutwe tubakie na jeshi la polisi kufanya kazi zao. Haiwezekani suala lililochunguzwa na PCCB lionekana shwari halafu chombo kingine kikagundua makosa!!!!! Then...
  5. F

    Pinda, Muungano, na Hatima ya Zanzibar

    Yamekupata yepi tena GT. Jenga hoja kwa umakini tu, tutaelewa. Hakuna sababu ya kumshambulia mtu binafsi kwa kiwango hicho. Endapo hukubaliani na hoja yake basi elezea kwa hoja zilizo na nguvu zaidi kudhihirisha ubora wa hoja zako na siyo kutumia lugha zisizokubalika ktk JF na pengine popote...
  6. F

    Kamati ya Mwakyembe si ilitoa ushauri Hosea afukuzwe kazi? Kulikoni?

    Kulingana na suala lenyewe lilivyokuwa, Hosea alitakiwa ajiuzulu au PCCB ivunjwe. Kwa taasisi nyeti kama PCCB kufanya kosa kubwa la kiufundi katika kiwango kile ni jambo lisilokubalika kabisa. Lisipofanyika moja kati ya hayo basi hata kujiuzulu kwa Lowasa hakukuwa na maana kubwa na itaonekana...
  7. F

    Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

    Huu ni udhalimu!!!!!!!!!! Tena mbaya kuliko hata wa wale wanaoshitakiwa kwa uhalifu wa kivita. Hapa nadhani ni bora tume iundwe kuchunguza suala hili. Na raisi atamke bayana kama kweli ameidhinisha kodi kubwa kama ya nyumba za Hollywood. Vinginevyo hata hii vita dhidi ya ufisadi haina maana!!!
  8. F

    Swine Flu in Africa - Tahadhari!

    Hizi habari sidhani kama ni za kweli. Kama idadi ingekuwa kwa kiwango hicho tungejua tu. Hawa "The Sun", labda watueleze wamepata wapi data hizi za kupotosha.
  9. F

    CCM kweli inaiba kura?

    Ni kweli tunahitaji kuwa na uthibitisho kabla ya kutamka bayana iwapo kuna wizi katika kura au la. Mazingira yenyewe yanaashiria au kutoa mwanya wa wananchi kufikiria kuwa upo uwezekano wa kura kuibwa!!!!!!! Mathalani katika uchaguzi wa jimbo la Busanda idadi ya waliojiandikisha kupiga kura ni...
  10. F

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Vyovyote vile itakavyokuwa, MUUNGANO ni lazima tuulinde. La msingi tu hapa ni kujadiliana kwa makini jinsi ya kuuboresha. Tena hili lisifanyike kwa jazba wala pupa. Ukitaka kujua ubaya wa kuvunjika muungano iangalie USSR, ilipokuwa wakati huo na ilipo sasa. Tusidanganyike kwa namna yoyote ile...
  11. F

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Mjadala huu unakuwa si mzuri tena kwasababu, watu wengine wanaanza kuvunja hata kanuni za uchangiaji katika JF kama kushambuliana kwa lugha zisizopendeza na jazba nyingi. Ni vema tuchangie tukiwa na nguvu ya hoja na si hoja ya nguvu. Wengi hawaelewi kazi na mipaka ya mahakama ya kadhi kiasi...
  12. F

    Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Ni vizuri hoja inapoletwa kwa ajili ya kujadiliwa iwe katika namna ambayo kila kitu kiko bayana. Si busara kulazimisha watu watoe maoni kwa kufuata mtazamo wa mtu binafsi vile ambavyo suala linamgusa. Ingependeza sana iwapo mtoa mada angetuletea hiyo MOU tuione ilivyo ndipo tutoe maoni yetu...
  13. F

    North Mara: Kashfa ya maji ya sumu toka mgodini!

    Buswelu angalia sana kauli yako. Usalama na afya za wananchi ni muhimu kuliko kingine chochote , USIJIDANGANYE. Usiwe mbinafsi.
  14. F

    North Mara: Kashfa ya maji ya sumu toka mgodini!

    Hapa sasa ndiyo tuone JK anavyoweza kuwa na maamuzi sahihi. Kwa maana mabomu ya Mbagala, hakuna aliyewajibika LAKINI hili la Nyamongo hatutakubali ubabaishaji. Serikali lazima ifanye jambo linaloonekana na si siasa tupu. Barrick wanatamba kuwa wao ni mabingwa katika mambo ya usalama na kuwa...
  15. F

    Mgodi wa Tulawaka kufungwa

    Kwa hilo la kuondoka Barrick ndugu yangu sema jingine hawawezi kuondoka leo wala kesho. Pale Bulyanhulu hazina iliyopo bado kama miaka hamsini (50yrs)
  16. F

    Mgodi wa Tulawaka kufungwa

    Wanatarajia kufunga baada ya miaka miwili, kwahiyo wanachofanya sasa ni maandalizi ambayo yanajumuisha ufukiaji wa mashimo kisha kupanda miti na kuhakikisha mazingira yamekuwa kama walivyoyakuta. Hilo lisikutie shaka, hoja nzito iliyopo ni kuwa dhahabu imekwisha na hatujanufaika ilivyopasa
  17. F

    Mgodi wa Tulawaka kufungwa

    Sasa hivi wanaendelea na underground mining. Walianza 2007
  18. F

    Mgodi wa Tulawaka kufungwa

    Kufungwa kwa mgodi wa Tulawaka nadhani ni sahihi kulingana na ahadi ya Barrick tokea walipoufungua mgodi huo. Wao walisema kuwa dhahabu katika mgodi huo itakuwa imemalizika kwa kipindi cha miaka mitano. Binafsi nimekuwa nikitafakari sana juu ya uvunaji wa madini hapa nchini na faida ambayo taifa...
Back
Top Bottom