imenilazimu nichangie tuu kwasababu umetaka tuchangie.mm nasikitika kuona eti muhitimu wa chuo kikuu anakuja kudai cheti huku jf,kwani ulisoma huku ili upewe cheti???fuata taratibu za kupata cheti katika chuo chako,huku kamwe uwezipata majibu sahihi yakupata cheti,ndio maana mwenzangu kakujibu...
mimi naitaji kuagiza kigari,aina ya suzuki carrytruck g 4wd,hesabu zake ziko hivi kutoka japan mpaka bandari ya DSM ni dolla 2300,bandarini wanachukua kodi kiasi gan?na gari yenyewe ni zamani usipime 2002,ushauri unaitajika
apo kipengele A,chagua kama na school candidate au ni private candidate,B weka namba ya shule mf =0687,then C weka namba yako ya mtihani,mf= 0042,then kipengele cha mwisho weka Mwaka uliomaliaza,ikizingua upande wakulia kwako kuna sehemu imeandikwa kwa maandishi mekundu desk helpe click...
all the Best SAUT,fanyeni yenu tena diplomsia akishindikana basi wapingwe,cos hii serikali imeoza na sasa naona inanuka,kibinadamu bord wanajua mnakula nn sasa?na hawa police mm sijui wakoje aisee?wanaida serikali mbaya kabisa wengi wao walio pandishwa vyeo awajalipwa,lakini wakiambiwa nendeni...
Ndug zangu walimu,kuna wahuni wachache wanachukua namba zetu tunazo ziweka kwaajili ya kutaka kubadilishana maeneo ya kazi/kituo cha kazi,wakidai eti wako Tamisemi eti wamepata details zako,mkipigiwa cm na wahuni kama hawa muwe makini sana,usikubali kutuma details zako .
kweli aisee,wanachuo wana tia huruma,ila jamani dada zangu Mungu awatie nguvu,mm machozi hadi yananitoka wadada wanavyo tumia njia mbadala kupata kula,sasa hii serikali imekuaje ina maana wao awaoni??huko bungeni wamekaa kimya sasa mjiandaae ,mtakula mtakacho kipanda,hapa anae zingua ni hazina...
kwa upande wa st.agustine of hippo.nina maanisha tawi ta mwuce,vijana wameendelea kuwa na madenimadeni kutoka kwa in service ambao wanaendelea kula bata na kamshara kao ka kila mwezi,ila kusema kweli hali ya wanachuo mwuce sio mbaya sana cos inservice wana upendo sana.SUBIRA YA VUTA KHERI,PIA...
lazima upate chuo,cha msingi nasisitiza ukiona point zako sio nyingi chagua private,ukikosa chuo ni mp,jaman 2some cos serikali aitujali walimu kabisa,salary mpaka leo akuna,mm ningekua afisa elimu anaetaka kusoma nampa mpaka nauli akasome.
irumba#chuo cha serikali chenye ada kidogo kwa sasa ni Udom pekee,the rest tofaut ni kidogo sana,angalia kwenye guide book,udsm ni milion1,vyuo vya sauti ni M1 point 2 mpaka 4,mf Ruhaa ni m1,so chagua vyenye ada ndogo,ila ata serikalin chagua but ukiweke serikali chaguo la kwaza NACTE...
G.P.A 2.9 ila unapochagua chuo chagua vyuo vya private cos governmen wana ringa sana ,ila chuo kama st Agustine ,makumira,arusha na vingine vingi tuu utapata,shaka ondoa.
wakitangaza udahili wa TCU na nacte wanakua hapo hapo,ukiingia TCU utakuta category ya NACTE so una apply kwa GPA za diploma,its all about.ada kawaida na TCU
mm niko chuo man,nilikua kama ww kabisa yani copy na kupest.ila nilicheza mishe nika apply na chet cha dip,wamenipa 50% nakula bata kawaida.so tumia TCU =>NACTE utapata chua na mkopo man wangu,nili maliza 2009 ajira 2012,mwaka jana chuo kama kawa.well come bro.
Be with GOD.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.