Hongera kaka kwa ujasiri wako huo na mshukuru Mungu kwa hilo kwani mimi nina kaka yangu wa toka nitoke alisikia kitu kama hicho akaamua kutumia kiasi cha fedha alichokuwa nacho kufadhili shughuli ya uchimbaji wa mali alizodhani kuwa zimefukiwa ardhini. Ninavyoandika hadi leo hii akili yake...
Naungana na mtoa hoja na nawakubali mamoderator wetu hapa jamvini. Tukitumia maneno au lugha ambayo si nzuri inaonekana wote hapa hatuko sawa na wala unachokijadili hakina maana. Ni kweli kila member ana mawazo yake na sidhani ki mtazamo tunaweza kuwa sawa la msingi tuwe wastaarabu na kuheshimu...
I used to think of it and i'm still thinking why things are like that and i do hope i will come into conclusion. Ahsante kwa mada yako nadhani tutadadavua ili kujua sababu yake nini mkuu.
Ujumbe umeeleweka lakini napingana na mtoa hoja sidhani kama issue ya kuwa kiongozi au mwenyekiti wa taasisi lazima uwe tajiri kwa hili sikubaliani naye hata kidogo. Inawezekana anamfaham Zitto kama alivyosema na sikatai kwa kuwa simfahamu zaidi ya kumuona bungeni au akijadiliwa hoja na tabia...
Hata mimi naungana na wana harakati katika kudai hili kwani mwisho wa siku tutajikuta tuko sehemu ambayao hakuna hata mmoja wetu alitarajia kufika huko. Kama kweli nchi yetu ni huru na ina demokrasia ya kutosha sioni tatizo la kuangalia mapungufu ya katiba yetu ya sasa na kuamua kufanya...
Hi All,
Ndugu zangu wana JF nachukua nafasi hii kujitambulisha na kuomba kukaribishwa katika mawazo na mijadala ya hapa na pale yaani kijamii, kisiasa n.k. Natanguliza shukuran zangu za dhati. All i all ninachoweza sema tuko pamoja katika kulijenga Taifa letu.
Regards,
Kabaya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.