Search results

  1. E

    Payoneer ni mbadala halisi wa PayPal!

    Reputatiom ya PayPal hainipi kuwa na wasiwasi. Na refunds nimeshapokea mara kadhaa na zinarudi kwenye local account (Stanbic) bila tatizo lolote. Changamoto inaweza kuwa kwa baadhi ya benki ambazo hazina ease of acces kuruhusu imtegration ya PayPal. Safe and reputable. Sent using Jamii Forums...
  2. E

    Wajuzi wa Ngeli

    Mkuu, hiyo ni i-zi. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. E

    Vodacom kifurushi cha siku Sh. 500,000/= wizi mtupu

    Mkuu, Pole kwa maswahibu. Nina maswali mawili. 1. Umecheki kuona kama sio Automatic Windows Updates ndo zinamaliza kifurushi chako? 2. Mfumo unaoconnect nao unakuonyesha mita za matumizi? Maana kwa hapa utaweza kuona bandwith kiasi gani imetumika ndani ya muda gani. Hiki kinaweza kuwa kipimo...
  4. E

    Kero: Bango la matangazo round about kwa Kakobe

    Binafsi mabango ya namna hii yananisumbua sana kupita maelezo. Ukiwa unatembea tu utashindwa kuona mbele kwa kuwa lina mwanga mkali mno. Sasa wa kwenye magari ndio kuna tabu hasa. Yafaa jambo lifanyike...
  5. E

    Hili tangazo la Magodoro na Jini, walifikiria nini!?

    Hilo tangazo ninalishangaa kila leo, hiyo dhana sijui wameitoa wapi.
  6. E

    Photographers' Corner

    Shot: Landing Gear Camera: Canon 550D Focal Length: 250mm (EF-S 55-250mm f/4-5.6 IS II) ISO: 100 Exposure: 1/640 Location: Selander Brigde, Dar es Salaam. Shot: Sister Peaks Camera: Canon 5D Mark III Focal Length: 105mm (EF 24-105mm f/4.0 IS L) High Dynamic Range Location: Himo Weigh Bridge...
  7. E

    TCRA mna kazi gani?

    Ahsante Mnyalu. Umezungumza kwa niaba yangu pia.
  8. E

    Airtel nao wale wale, hakuna afadhali

    Tanzania inanisikitisha sana.
  9. E

    Ben Mtobwa "tutarudi na Roho zetu" afariki dunia

    Huwa nasita kusoma vitabu vyake, maana nikianza sitaki kuacha. Na nikiwa nasoma naanza kusikitika - nasikitika kwamba kadri ninavyosoma ndivyo ninavyokaribia kumaliza kurasa. The man has been an inspiration to many, hasahasa mimi. Hizi ni baadhi ya nakala nilizofanikiwa kutunza baada ya...
  10. E

    Niambie chochote cha kunijenga.

    Hii ilinijenga, natumai pia utajengeka. Japo ni tangazo.
  11. E

    tofauti kati ya devil na evil

    The devil does evil. Shetani hufanya uovu/maovu.
  12. E

    13 Interesting Facts About Canada that may be you don't know

    Thanks for sharing mkuu, nimependa hasa linguistic error.. doh! Ukituwekea na source, utang'arisha zaidi mkuu. asante.
  13. E

    Wanaume waliooa, hii yawahusu

    ndugu IGWE, vipi tena. mguno wako una uelekeo upi mkuu?
  14. E

    Wanaume waliooa, hii yawahusu

    Kwa hakika kuna changamoto nyingi ambazo huwa wakinababa, ama kwa ufasaha waume wa watu huwa wanapitia kwenye maeneo tofauti tofauti katika shughuli za mihangaiko. Huenda ndio kwanza umepata ajira mpya, na hapo ukakutana na kinadada warembo ambao hata wanaweza kumfanya mtu avunje shingo...
  15. E

    Picha za ile ajali ya Bwawani, Morogoro

    Nina hakika katika picha zote ulizoona hujaona ya majeruhi hata mmoja, hapo ina maana gani? Hawapo muda huo, wameshapatiwa msaada unaostahili na kuwahishwa hospitalini. Lakini pia kama ulimuelewa vema, wanaonyookewa hapa ni wale waliojaalwa kuwa na simu zenye uwezo wa kupiga picha, siku hizi...
  16. E

    Picha za ile ajali ya Bwawani, Morogoro

    Juzi hii Katavi, Alhamisi
  17. E

    Picha za ile ajali ya Bwawani, Morogoro

    Habari wadau, si vibaya tukaona namna ambavyo ajali ya Morogoro eneo la Bwawani ilikuwa. Dereva wa Lori la mafuta, alifariki kwenye tukio. Na habari za baadae ni kwamba dereva wa Tata nae alifariki. Poleni wafiwa. picha zaidi, Gospel Kitaa™: HABARI PICHA: AJALI ILIYOUA NA...
Back
Top Bottom