Ufisadi utakwisha tukiondoa mgongano wa Maslahi?
Bila ya shaka wengi wetu tumechoshwa na ufisadi, na ili tuweze kusonga mbele tunahitaji viongozi ambao kweli wakisema wanauchukia ufisadi tushawishike kwa kauli zao na matendo yao kwamba kweli wao si mafisadi.
Naambatanisha article...
MANENO HAYA YA H.E KIKWETE YAMENISISIMUA.....KIDOGOKIDOGO TUNARUDISHA HESHIMA YETU KTK MEDANI YA SIASA ZA KIMATAIFA NA KISTARABU.....
''Rais Kikwete ambaye alikuwa mwenyekiti wa kikao hicho, alimjibu Makamu huyo wa Rais wa Burundi, Hakuna shaka kuwa nchi zote katika eneo letu la Afrika...
Kwa Hili Serikali imesimama upande sahihi.....Hongera Mh. Membe
Wakuu inatubidi kuipongeza serikali ya Tz kwa msimamo iliounyesha juu ya sakata hili la Zimbabwe.
H.E J.Kikwete, Hon. Member, You are the new beacons of light to shine where there is darkness in African continent.
Maelfu ya...
Kikwete has played it smartly.....not enough though!!!
Wakuu hayo maneno Muungwana kajua kuyachagua, maana angemshambulia Comrade Bob hadharani baadhi hapa na hapo mkutano wangemuona kwamba yeye ni kibaraka wa West, na kama angempongeza Bob angepoteza ile credibility yake aliyo nayo ktk...
Kama Mkataba Ni batili kwa nini usivunjwe sasa? Hadi August Mnasubiri nini?
Kwanza tuchukulie nadharia kwamba mkataba huu bado muda wake haujaisha. Swali la msingi ni je kwa nini usivunjwe sasa na kutaka pesa zote zilizolipwa kurudishwa haraka.
Sheria za mikataba ya kimataifa zinasemaje? na...
The recent comments by Hon. M.Mkullo, the man who is supposedly to be the chief of running our economy and financial sector, highlighting about the EPA scandal, it has proven that the Hon. minister is either 'negligent or incompetent' to hold such crucial and undoubtedly one of the most...
MWAKYEMBE TUPE RAHA....WEWE NI JEMEDARI USIYEOGOPA
Wakuu, wakati umetimu wa kuwaletea Watanzania maendeleo ya kweli, na mafisadi ole wao wakae chonjo, haogopwi mtu, hapendwi mtu, hapa ni uzalendo tuu na maendeleleo ya Watz ndio yanayowekwa mbele na si matumbo ya watu binafsi na familia zao na...
KWA HILI KIKWETE..TUKO PAMOJA MADNESS IN ZIMBABWE MUST STOP IMMEDIATELY
Mkuu Kitila tuko pamoja, maneno aliyoyasema Mh. Kikwete inabidi uyasome between the lines ili ujue kwamba ni maneno mazito na yanatuma ujumbe mzito kwa Mugabe na watu wake wa karibu kwamba hatuwezi kunyamaza na Rwanda ya...
SAUTI YA KIKWETE NI MRINDIMO WA AINA YAKE......HONGERA KWA HILI!!!!
Wakuu kwanza nianze kwa kusema naamini matatizo ya Afrika yatasuluhishwa na Waafrika wenyewe, Sio Bush wala Brown au Sarkozy.
Ofcourse, sisi kama Waafrika 'particularly Tanzania we have done or said too little too late'...
Kuondoka CCM Mama Kilango je kutaleta 'Tija'....?
Wakuu naamini hapa JF ni jamvi la kujifunza mengi na pengine kuzalisha cheche za kweli za kuleta mapinduzi ya kifikra ya kumkomboa Mtanzania mlalahoi.
Sikubaliani na hoja mama K ajitoe CCM, 'keep your friends close, and keep ur enemies even...
Hon. Kikwete Umevaa Viatu Vilivyopata Kuvaliwa na 'Nyota ya Afrika'.
Wakuu bila ubishi Mwl. Nyerere ameacha 'standards' za hali ya juu ili viongozi watakaomfuatia wazifuate na pengine waweze kwenda mbali zaidi ya pale yeye alipofika.
Nasema pasi kuwa na shaka Mwl. alikuwa na mapungufu yake...
Maneno ya FM Tanzania ni Mazuri lakini mmechelewa......
Siku nyingi hapa ndani ya JF na duniani kwa ujumla watu walishasema huyu Bob Mugabe anahitaji 'strong words of condemnation' lakini ndio kwanza viongozi wetu wa nchi za Africa mkatia pamba masikioni. Mkidhani kwamba Wazungu wanaingilia...
''Amani haitafutwi kwa ncha ya Upanga...Tuliwapinga makaburu si kwa sababu ya rangi yao ila kwa dhambi ya ubaguzi wao''
Mara kadhaa imeshadhihiri njia ya kutumia mabavu haijawahi kuleta suluhusho la kudumu na la muda mrefu katika nyanja kadhaa za maisha ya mwanadamu.
Kitendo cha kuwakamata...
Wadau imejiri kwamba serikali inawabana watu wasiwazomee mafisadi na wakulu wa matawi ya juu wameshatangaza kula sahani moja na wanaozomea mafisadi.
Hizi ni dalili za kidikteta na zisipokemewa na kulaaniwa mapema zinaweza kuwa na mwisho mbaya kwa mafisadi kudhani wanaweza kufanya chochote na...
Ufisadi na Benki Kuu... Ukistaajabu ya Musa ....
Inasikitisha kuona pale taasisi kama Benki kuu ambayo ndiyo mhimili wa uchumi inapoamua kupiga mbizi ktk kuutetea na kuurutubisha ufisadi.
Gavana wa benki kuu alipokuwa Uingereza ktk lile kongamano lililoandaliwa siku kadhaa zilizopita...
Waungwana hivi hawa wazee wanadhani sote tumelala, hii sheria ya maadili ni uwozo mwingine unaohitaji kurekebishwa haraka iwezekanavyo.
Sheria inabidi iwepo kuwalinda wanyonge na si vinginevyo. Kwa wale waliopita kwenye anga za sheria wanaelewa kuna kitu kinachoitwa 'mischief of justice'. Hii...
Mzee Samuel Sita, you must be kidding us......
Nimesoma ktk vyombo vya habari kwamba Spika wa bunge, Mzee wa Speed and Standard ameamrisha hoja zile 'sensitive' zisijadiliwe mpaka pale yeye atakaporudi toka US. Is this a joke or what???
Toka lini taasisi ya bunge ikawa ni mali ya mtu mmoja...
Kama uongozi wenyewe wa namna hii siutaki milele!!! Namuomba Mungu aniepushe nao....
Mshairi mkongwe Shaaban Robert alipata kusema 'Kiongozi anaefaa/muadilifu ni yule anaetawala mioyo ya watu na sio viwiliwili vyao'.
Yanayotekea Kenya yanahuzunisha na kusikitisha sio tu kwa Afrika bali kwa...
Mzee Game theory without a doubt unayo heshima yangu kwa data zako!!!
Lakini naomba tuwekane sawa kuhusiana na huyo Mkuu Gordon Brown PM, infact huyo bwana si mchumi ila ni 'historian' pitia kule kwenye wikipedia utaona CV yake kwa ufupi, infact ana PHD ktk history, ila kwa mambo makubwa...
Mzee Kithuku....'Need I say More!!!'
Umepigilia msumari ktk hoja hii, Mwinyi kwa kiasi kikubwa alifanya yale ambayo yalikuwa ni medicine kwa kipindi chake.
Nashauri pia kwa wenye doubt wapitie kitabu kile cha mchumi maarufu 'Keynes' alipokuwa akielezea 'general caourse of unemployment'...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.