Search results

  1. scholarsway

    Baada ya kuwajibishwa, dk. Nchimbi na Kagasheki kurudi tena barazani!!

    RAIS Jakaya Kikwete anatarajia kuipanga upya safu ya Baraza lake la Mawaziri wakati wowote, huku baadhi ya wabunge na mawaziri wakitakiwa kusitisha mapumziko yao ya mwisho wa mwaka na kurejea jijini Dar es Salaam haraka. Miongoni mwa wabunge waliositisha mapumziko yao na kurejea nchini ni...
  2. scholarsway

    Afande sele (chadema) kupambana na aziz abood (ccm) ubunge 2015 moro mjini

    Kuna habari kwamba bingwa wa rhymes Afande sele amejipanga kuchukua jimbo la morogoro Mjini 2015 kwa tiketi ya Chadema Jimbo hilo kwa sasa linakamatwa na Aziz Abood kwa tiketi ya CCM ambaye anatarajiwa kulitetea kwa mara ya pili katika uchaguzi ujao. Habari za ndani zinadai kuwa CCM...
  3. scholarsway

    Mwaka mpya mawaziri wapya hawa hapa, kutangazwa hivi karibuni

    Matukio ni mengi yaliyoitikisa Tanzania, lakini hili la mawaziri wanne kung’oka limefunga mwaka vibaya, WALIONG'OKA Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamisi Kagasheki. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Shamsi Vuai Nahodha...
  4. scholarsway

    Commonwealth Scholarships for international students.

    The Commonwealth Scholarships are for students from developing Commonwealth countries for Master’s (one-year), PhD, and split-site PhD study in the UK. These scholarships are funded by the UK Department for International Development (DFID). Read more Commonwealth Scholarships for...
Back
Top Bottom