Search results

  1. ehamaro

    Katiba Mpya au NEC mpya?

    ndugu katiba ndo kila kitu ndo imempa madaraka president ku changua wakuu wa NEC sasa usipo badili hicho kipengele kwenye katiba utawezaje kubadili hiyo separate piece of legislation? huoni kama zita contradict kama tukiacha katiba ilivyo na hiyo document ikasema tofauti
  2. ehamaro

    Elections 2010 Tanzania ni kinara wa misamaha ya kodi-utafiti

    Tanzania inaongoza kwa kutoa misamaha mikubwa zaidi ya kodi ikilinganishwa na nchi nyingine za Afrika Mashariki pamoja na bajeti yake kuwa tegemezi kwa misaada ya nje kwa zaidi ya asilimia 30. Taarifa hiyo ilitolewa jana jijini Dar es Salaam na Rose Aiko, mchambuzi wa utafiti toka Uwazi (Pata...
  3. ehamaro

    Elections 2010 Dr. Slaa kujibu maswali "Live" ITV saa moja Usiku Jumamosi Hii

    Kesho Jumamosi Oktoba 23 Mgombea Urais wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa atajibu maswali ya wananchi moja kwa moja (live) kupitia luninga ya ITV ya jijini Dar es Salaam kuanzia saa moja jioni hadi saa tatu usiku kwa saa za Afrika ya Mashariki
  4. ehamaro

    Elections 2010 Napendekeza hiki kiwe kichwa cha habari kesho kwenye habari leo....

    kafanya vingitu 1. kusafiri kila kukicha 2. kwenda kubembea nje 3. kuoa kisirisiri 4.kafungua miradi mingi alianzisha mkapa 5.kugawa mabilioni ya hela kwa....
  5. ehamaro

    Elections 2010 Napendekeza hiki kiwe kichwa cha habari kesho kwenye habari leo....

    wee haja buni kitu hivi unajua Mkapa alikua ameshaanzisha mchakato wa kufungua chuo Dodoma na ndio maana alipo ingia tu akanza kuropoka tuna fungua chuo . we unafikiri muda kilio funguliwa na muda alio ingia angeweza kufanya hivyo , chuo kina hitaji mandalizi kibao na budget ya kutosha na waalimu
  6. ehamaro

    Orodha ya ahadi za Kikwete kwa wananchi 2010-2015

    Eti nitajenga uwanja wakimataifa Bukoba ule wa mbeya ulio anzishwa na mkapa mpaka miaka mitano ilio pita mpaka leo hauja kamilika imekuaje? Ile bara bara ya mandela (kutoka ubungo mpaka Tazara ) walahi mika sita sasa haijaisha shirika la reli nchini limeshindwa kazi je ataweza jenga...
  7. ehamaro

    Elections 2010 Hii ni picha halisi ya matokeo ya uchaguzi wa 31 Okt 2010

    Asitutishe na kaulizake , je REDET aliwauliza angalia matokeo mengine tena kutoka TCIB then fanya mahesabu uone nani anaongoza waweza kuyapata hapa FULL SHANGWE: TCIB YASEMA DR. JAKAYA KIKWETE NA DR. WILLBROD SLAA WANACHUANA VIKALI BAADHI YA MAJIMBO!!
  8. ehamaro

    Elections 2010 Dr Slaa ndani ya Bukoba

    Tatizo ni kua sisi tunao ongea hapa ikifika siku ya kwenda kupiga kura hatujitokezi sababu kibao . hicho ndicho kinacho niboa
  9. ehamaro

    TANESCO yaomba kuongeza bei ya umeme

    unajua hakuna kitu kizuri kama kua na mipango sahihi ? mi nashindwa kuelewa ni nini kinacho wafanya wapandishe bei? wakati waliondoa IPTL na kuweka ges ili kupunguza garama. mimi nilikua nategemea kusikia wana punguza pei kwani wanauziwa gesi kwa bei ya chini sana na najua asilimia kubwa ya...
Back
Top Bottom