Search results

  1. man of steel

    Msimamo wa wanaume wa mikoani kuhusu tukio la Dodoma

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, wanaume wa mikoani wote kwa ujumla tumeshtushwa sana na swala lililotokea Dodoma, hii kutokana na malalamiko kutoka wanaume wote wa kanda ya ziwa, nyanda za juu kusini, kusini mashariki na kaskazini kwa ujumla isipokua tuu wanaume wa Dar ambao kwa namna...
  2. man of steel

    Wenye wapenzi wenye Kithembe tushee uzoefu hapa.

    Habari zenu humu. Ok, twendeni kwenye mada kwa ambao washawahi kua na wapenzi wenye Kithembe tushee uzoefu kidogo. Binafsi mwenza wangu ana Kithembe alafu Ni nimuongeaji Sana ingawa ana Kithembe mungu huyu...!!! Sasa shida inaanza inapotokea nimemchukiza kitu akiwa analalamika au kunikanya hua...
  3. man of steel

    Tecno cX

    Used for 1 month only 330000 fixed Every thing fine, no scratches Full accessories Boxed 0718319771
  4. man of steel

    simu inauzwa fast deal.

    habari zenu wakuu TECHNO P3 with single crack inauzwa haraka haraka #0686297599 bei yake ni 100000 tuuu kwa picha namba hyo hapo.
  5. man of steel

    Lg g pro for sale

    LG G pro used for two monthes has a single crank but every thing works perfectly specifications:internal memory 22GB camera 13megapixel android yake ni kit kat hili ni dili la leo leo ambae yupo amevutiwa namba hii hapa a text tu no calling #0686297599
  6. man of steel

    natafta smartphone budget yangu 500K.

    budget yangu laki 5 nafta smartphone ambayo ipo katika hali nzuri kwa yoyote ambae yupo interested anitajie aina ya simu kupitia sms my no is 0718319771. nikivutiwa nayo tufany deal as soon as possible natoa cash sitaki long longo.
  7. man of steel

    nshaanza kupata mashaka na hiki chuo.

    naona kila mtu ana furaha na chuo chake alichochaguliwa hata mimi pia ila naanza kupata mashaka na hiki chuo ambacho mimi nimepangiwa hamna updates zozote kwenye website yao kuhusu sie tunaoenda kuanza hata majina ya ambao tumechaguliwa pale mpaka leo hawajaweka kuhusu usahili pia hola kama hili...
  8. man of steel

    kumbe GS kweli ina consideration.

    nimepitia majina ya selected candidates ya UDSM ni kweli GS imefanya yake mwanzoni nilikua nabisha humu humu jukwaani but leo nimeamini...hongera kwa ambao mmepata nafasi pale nadhani zile GPA tu za walochaguliwa zinajieleza.
  9. man of steel

    Ardhi kuna mabinti wa kutosha...?

    jaman mm nmechaguliwa ardhi ila napata was was sana kama kweli kuna mademu wa kutosha maana nikiangalia hamna education,business administration,public administration wala hzo nyngne za arts kwa ambao mnakijua vzur hki chuo naomba ufafanuzi mm nachojua pekee kuhusu hki chuo kwamba kipo karibu na...
Back
Top Bottom