Wewe ni mchonganishi tu, huna lolote.
Nukuu hujaielewa lakini unataka kuleta Vita ya Urais.
Bahati nzuri Stephen Wasira amejaliwa hekima na akili nyingi hawezi kuyumba kwa maandishi ya Kitchen party.
Wasira ni kada wa CCM mwenye nguvu ndani na Nje ya Chama ndio maana jina lake linapewa...
Kwani hijaelewa nini mkuu.
Kuna Mabepali.
Kuna Matapeli.
Kuna Mabepali Matapeli
Kuna Matapeli wasio Mabepali na hawa ni wengi.
Hapo umeelewa? Wala sijachanganya.
Bill Gate tumefurahi kukuona humu, kumbe na wewe una akaunti JF? Haya ngoja tukujuze bosi.
Huyo ndio Rais Mtarajiwa ambaye atadhibiti mianya ya Rushwa na Ufisadi, yeye ni Mwadilifu mwenye msimamo.
Mabepali matapeli kama wewe kaeni tako moja maana mwisho wenu ni huu.
www.stephenwasira.co.tz...
Wasira ni mwanasiasa makini hajawahi kuwa na sentensi zenye utata katika mambo muhimu.
Isije ikawa Mwandishi kamnukuu vibaya akaandika kwa nia ya kuwachonganisha.
Inajulikana sasa ndani ya CCM mjadala mkubwa ni Wasira na Lowasa. Mmoja kati yao ndio Rais.
Kama hayupo Bashe yupo, Abubakar Lyongo, Mgeja,Mwenyekiti wa Arusha,Msindai na Mathayo wa Musoma.
Yeye anaugulia dripu kliniki wakati wapambe wanafanya fitina.
Mbona jana hakuwepo na bado wakatoa Mil.50 Zanzibar.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.