Search results

  1. Mudawote

    Serikali isikilize kilio Cha Hawa wananchi .

    Wao ndiyo waliyafuata maji
  2. Mudawote

    Diwani ashindwa jaribio la kumchafua kwa makusudi Waziri Mstaafu Kawambwa huko Bagamoyo

    Sana yaani Kawambwa hakika nikiwa na tukio nitamkaribisha jamani aje aongee hekima. Yaani ana busara kama Dkt Kikwete. Mungu ambariki sana.
  3. Mudawote

    Diwani ashindwa jaribio la kumchafua kwa makusudi Waziri Mstaafu Kawambwa huko Bagamoyo

    Wana kesi ya kujibu maana alimtishia kumuua Kawambwa. Halafu huyo jamaa boya sana eti yule DSO anamuitwa wewe mtu wa protokali hahaha ila namhurumia he is a deadman walking kwa sababu hahaha aliyempiga kofi Marehemu A. H. Mwinyi hahaha cheza na wastaafu. Huyo jamaa nimemuona kwenye clip ni...
  4. Mudawote

    Diwani ashindwa jaribio la kumchafua kwa makusudi Waziri Mstaafu Kawambwa huko Bagamoyo

    Dkt Kawambwa ana hekima sana. Yaani hakika watanzania tunampenda sana.
  5. Mudawote

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

    Sana, wananchi wana maumivu. Unajua tofauti na miaka ya nyuma ila wapiga kura wa sasa wanalinganisha sana na wanajua haki zao
  6. Mudawote

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

    Hahahaha maana yake chama kitakachosimama na Dkt Magufuli kitapata ushindi wa 57%
  7. Mudawote

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

    Hahahaha wewe acha tu. Unajua Dkt Samia wanaendelea kumlaghai na ile timu yake. 2010 Dkt Kikwete alishinda kwa mbinde ina maana kama siyo Dkt Magufuli 2015 chama mfu aka mifupa aka NGO ya gaidi mbowe ingeweza kushinda ila isingepewa nchi kwa sababu kuna jambazi la kuteka magari lema ndani yake
  8. Mudawote

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

    Dkt Magufuli ni jabari, hakuna wa kumlinganisha. Dkt Samia angeweza tatizo lake moja tu.
  9. Mudawote

    Mimi ni Mkristo mlokole, nimeanza kukosa Imani na ukristo nahisi Uislam ndiyo dini ya kweli

    Mbinguni inaenda roho inayoamini, siyo mavazi wala kanisa. Ukiamini basi hapo umemaliza kila kitu. Wewe ni mfano wa wale kizazi cha nyoka yaani mpaka uone ndiyo uamini wakati inaanza kwenye kuamini ndiyo uone matendo makuu ya Mungu. Pia usichanganye uwezo waliotupa Mungu Vs kuamini. Usije...
  10. Mudawote

    Mpina ampongeza Rais Samia kwa kumuondoa January Makamba TANESCO, alihusika na ufisadi wa kutisha

    Alifukuza top management wote kisa tu wa Dkt Magufuli. Makamba tatizo lake kubwa ni kushindwa kuelewa miiko ya uongozi
  11. Mudawote

    Boniface Jackob afika kituo cha Polisi cha Oysterbay ili akamatwe kama alivyoagiza RPC

    Ndiyo huyo pipa hapo kushoto? Hakika chama mfu kimejaa mahuni sana
  12. Mudawote

    Vyuo vikuu vya Marekani vilivyohusika katika maandamano ya Wapalestina: Netanyahu anasema ni Hamas

    Wana create sympathy ya magaidi wa kiislamu yasije jitoa muhanga kuua watu USA. Na USA wajanja, wanahakikisha hamas anapata kichapo cha mbwa koko huku wanajifanya kumuonea huruma hahaha
  13. Mudawote

    Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

    Lete picha/video Allen Kilewella
  14. Mudawote

    Kwanini Paul Makonda anautafuta wokovu sasa kwani ametenda dhambi gani inayomtafuna?

    Zimefanya kazi mbona. Sasa wapiga kura wanajua mbowe ni gaidi, jizi, jambazi na uaji
  15. Mudawote

    Bariadi: Wanafunzi wavunja masomo na kuzuia Msafara wa Mbowe, wampigia Saluti

    Hahaha yaani wametafuta watoto toka moshi uchagani wakawasafirisha mpaka bariadi, ila hiki chama mfu hakika mungu anawaona. Mnakuwa waongo hivi. Halafu cheki watu wachacheee, angalieni nyomi ya cde CPA Makalla na cde Dr Nchimbi ni balaa
  16. Mudawote

    Kwanini Paul Makonda anautafuta wokovu sasa kwani ametenda dhambi gani inayomtafuna?

    Hahaha hizo ni propaganda zangu za kuififisha hicho cham mfu kionekana hakina watu ili CCM tuendelee kuwa maarufu. Yaani siku zote mi chadema ni cham kilichokufa tangu 2015 na hakina kabisa mashabiki na lema ni jambazi la magari na mbowe ni gaidi na lisu kakimbilia ulaya kuolewa hahaha mtakoma...
  17. Mudawote

    Kwanini Paul Makonda anautafuta wokovu sasa kwani ametenda dhambi gani inayomtafuna?

    Shabaashi nyamaza dogo wakubwa tunaongea
Back
Top Bottom