Habar wakuu naomba kuuliza, ni chuo gani wanatoa koz za namna hiyo au kuendana na hiyo koz, kwa anaejua hata ikiwa ni certificate, diploma or degree.
Natanguliza shulrani
Wakuu poleni na mahangaiko ya hapa na pale,
Naitaji gari la mkopo. Kama kuna mtu anajua yadi wanayokopesha magari kila mwez ukawa unalipa nitashukuru saaana na mashart yake.
Kama unajua 0769038065 no. Yangu.
Nashukuru sana
Wakuu poleni na mahangaiko ya hapa na pale, naitaji gari la mkopo. Kama kuna mtu anajua yadi wanayokopesha magari kila mwez ukawa unalipa nitashukuru saaana na mashart yake kama unajua.
0769038065 no. Yangu.
Nashukuru saaana
Optoma projector yenye uwezo wa kukaa na charge zaid ya masaa 2 na yenye masaa 22000 inauzwa kwa sh. Laki mbili. Ukinunua zaidi ya moja kuna discount.
My no. 0769038065
Habar wakuu,
naombeni msaada, nilikua na update software kwa kutumia internet ya wireless, then baada ya kumaliza nikawa naistall baada ya hapo ikajiereboot then ikawa inawaka then inazima haimalizi kuwaka. Nilijalibu kuingiza kwenye recovery mode but inagoma inaniingiza kwenye downloading mode...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.