Search results

  1. Okhondima

    Msaada wanajamvi

    Salam ndugu, Naomba kwa anayejua anijuze ni namna gani nitaweza kuwatibu kuku wangu wa kienyeji kutokana na ugonjwa unaowasumbua.Ugonjwa huo unawatokea kuku ghafla na moja a dalili zake ni kuku kugandiwa na kinyesi katika njia yake ya kujisaidia ambayo hali hiyo hupelekea kuku kudhoofu na...
  2. Okhondima

    Video mpya ya rose muhando,ni balaa..

    Wimbo unaitwa WOLOLO,humu ndani bi mkubwa huyu kajua kujiachia jamani.. <a data-cke-saved-href="http://www.youtube.com/watch?v=86d0r-3fmxg" href="http://www.youtube.com/watch?v=86d0r-3fmxg">[VIDEO]http://www.youtube.com/watch?v=86d0r-3fmxg[/VIDEO Kama hali imekuwa hivyo,mimi namngojea mwana wa...
  3. Okhondima

    Most Amazing PC Cases..

    No. 1 No 2 No.3 No.4 No.5 No.6 "Nlikuwepo":bolt:
  4. Okhondima

    Godzillah umeniangusha kaka..

    Kwa jinsi ilivyokuwa kali ile nyimbo,sikudhani hata mara moja kama Godzillah angefanya video mbovu kiasi kile! Kwa jinsi nyimbo ilivyokuwa na mdundo wa maana,mdundo wa kitemi,mdundo wa hip hop zile za old school,mdundo amsha amsha.Flow za kinyamwezi zote ulizotiririka mule ndani..yani juhudi...
  5. Okhondima

    Angalia hizo video mbili kisha uniambie kati ya Mhehe na Makonde ni nani katisha zaidi.

    http://youtu.be/LFn1GK9lgkQ "Nlikuwepo":bolt:
  6. Okhondima

    Mchana wa leo nime-enjoy sanaaaa...

    Chamaki nchanga na mboga za majani kwa mbali,yummy.... "Nlikuwepo":bolt:
  7. Okhondima

    Walitangulia mbele ya haki,lakini kama wangekuwepo hadi leo ingekuwaje?

    Kuna baadhi ya wasanii ambao walikuwa wanafanya vizuri sana katika tasnia ya maigizo na muziki pia,hivi tujiulize kama hadi leo hii wangekuwa hai wangeweza kuendana na hali ilivyo sasa katika soko la sanaa Tanzania? 1.James Dandu a.k.a Mtoto wa Dandu Sikufanikiwa kumsikiliza kazi zake nyingi...
  8. Okhondima

    Arsena vs Liverpool Panachimbika Emirates.

    Akiwa kacheza mechi tisa za ligi na kufunga magoli nane msimu huu huku mwenzie akiwa kacheza mechi tatu za ligi na kufunga magoli sita,hii inaifanya safu ya ushambuliaji ya liverpool kuwa tishio zaidi kwa msimu huu kwa pamoja wanaunda combination ijulikanayo kama SAS.Hapa nawazungumzia Daniel...
  9. Okhondima

    Nani mkali vileee????KIati yake yeye (DINHO) na hao.

    :A S-confused1:
  10. Okhondima

    Dr. Leaky Abdallah, Shafih Dauda, Edo kumwembe na Geofrey Leah nani mchambuzi bora wa soka?

    Habari wadau! Nahitaji mawazo yenu kati ya hawa watu wanne niliowataja hapo, ni nani ambaye anajua kuchambua soka kwa ufasaha zaidi? Shafih kila siku tunamsikia pamoja na Geofrey Leah, Dr Leaky Abdallah wengi tunamfahamu na hata Edo Kumwembe tunazisoma sana makala zake katika gazeti la...
  11. Okhondima

    Matunda pia ni mboga. Jaribu kula papai leo

    Namna ya kuandaa papai kama mboga. 1. Chagua papai ambalo ni bichi na wala halijaanza kuiva (itakuwa vizuri kama utachagua papai changa) 2. Viungo vingine unavyotakiwa kutumia ni vile muhimu kama NYANYA,VITUNGUU,HOHO,KAROTI na viungo vingine waweza kuongeza kama utapenda. MAANDALIZI... A. Osha...
  12. Okhondima

    habari gani marafiki?

    Mgeni humu ndani,umoja na upendo amani na mshikamano ndio nguzo muhimu... Natumaini tutakuwa pamoja ktk kuchangia mawazo na kutoa hoja zitakazosaidia kuimarisha mahusiano yetu kama ndugu na kubwa zaidi ni kujenga nchi yetu. AMANI....By OKHONDIMA!
Back
Top Bottom