Search results

  1. Stanboy

    Rafiki yangu anahitaji mume

    Kwani ukisema tu ni wewe shida iko wapi?🤣
  2. Stanboy

    Kujichora tattoo imekuwa chanzo cha kuachwa dada yangu, ni kama ana bahati mbaya

    Aje nimpeleke sehemu wanafuta tatoo aandae milioni moja
  3. Stanboy

    Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea

    Alishaona kichwa maji so hana story na wewe ni sex tu🤣
  4. Stanboy

    Wanaume weupe na kingeke cha kupendwa na wanawake!!

    Tembelea wodi za wazazi utakutana nao🤣
  5. Stanboy

    Wanaume weupe na kingeke cha kupendwa na wanawake!!

    Huu ndo ukweli,ila kuna watu watakubishia..kiukweli wanaume weupe hata hatutongozi..yaani kabla hata hujamtongoza mwanamke tayari alishakubali🤣
  6. Stanboy

    Wanaume weupe na kingeke cha kupendwa na wanawake!!

    Hii ni moja ya kauli ya uongo ya wanawake.. Wanawake huwa wanaongea kinyume..na hawajui wanataka nini!
  7. Stanboy

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Huu uzi ustaafishwe kwa lazima🤣
  8. Stanboy

    Nahitaji mwenza wa Maisha (mwanaume)

    Sasa mbona unatafuta vitu vingi?😀😀
  9. Stanboy

    Natafuta Mchumba/Mume

    Engineer gani anajieleza vizuri hivi.. Au engineer wa kitandani😀
  10. Stanboy

    Natafuta mpenzi (ME)

    Mwandiko wa kiume kabisa huu ndo doubttttttttttttttt
  11. Stanboy

    Nimenunua home theater LHD657 Model, lakini cha ajabu ina Sauti ya kawaida sana

    Kaka hujapigwa angalia WATTS zake bila shaka ni 330W ndo uwezo wake..so kachukue kubwa yake yenye 1000W halafu rudi hapa na thread ya ushuhuda hapa
  12. Stanboy

    Nimenunua home theater LHD657 Model, lakini cha ajabu ina Sauti ya kawaida sana

    Nina uhakika na ninachoandika..niliwahi kununua LG 330W sikuielewa kabisa..niliuza nikanunua LG 1000W naenjoy mziki wa maana..na pia zinapendeza sana ukiziweka sebuleni..sipendagi kuandika kitu nisichokijua kama wewe unabisha upumbavu huku unatumia sabufa ya ALITOP😀
  13. Stanboy

    Nimenunua home theater LHD657 Model, lakini cha ajabu ina Sauti ya kawaida sana

    Unaponunua hizi Home T Ukitaka kununua hizi Home Theatre au Sound Bar zingatia WATTS..kwa LG nunua angalau kuanzia WATTS 1000W..hiyo yako itakua ni 330W so hakuna kitu...pia Sea Piano ni Subwoofer moja imetulia sana tatizo tu brand yao ila ni mziki wake uko poa sana
  14. Stanboy

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Halafu UKIMWI ulivyo wa ajabu hauui malaya..unawafuataga watu kama nyie msio na mbinu za kivita😀😀
  15. Stanboy

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Sijui kama unaelewa hata unachoandika au unaandika kwa hisia na kukosa elimu!! Nikusaidie kidogo just google ni ugonjwa upi unaongoza kwa kuua watu Tanzania?au nenda Wizara ya Afya kaulize..basi usipate shida sana kama una akaunti Twitter mtext Odo Ummy Mwalimu muulize hili swali hanaga shida...
  16. Stanboy

    Mwanaume akiwa hivi mimi Hoi

    Huyu ni mimi kabisa..copy kabisa
  17. Stanboy

    Financial services popote ulipo nakupenda sana

    Hivi huyu dada yupo kweli? Sijamuona hapa siku nyingi sana...ukimpata mwambie namsalimia sana
  18. Stanboy

    Wanawake wa Kichaga wanawapenda sana Wanaume wa Kisukuma

    Si wasukuma tunasemekana tunapenda wanawake weupe..na wao wachaga wengi weupe so wanajua kabisa hapo tayari wana uhakika wa kupendwa
  19. Stanboy

    Nimekata tamaa ya kupata Mtoto

    Nenda kwa Mwamposa kawe tatizo lako litaisha
Back
Top Bottom