Search results

  1. M

    Hatimaye Hamad Rashid, Shoka Hamis na wenzao wawili wafukuzwa CUF!

    Miaka michache iliyopita, CUF kilikuwa chama kikuu cha upinzani Tanzania. Hivi sasa nafasi yake imechukuliwa na CDM. Nafikiri ingesaidia sana kama tungejadili maana ya tukio la katika siasa za upinzani Tanzania na serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar? Je, Hamad Rashid ana nguvu za kuigawa...
  2. M

    Hatimaye Hamad Rashid, Shoka Hamis na wenzao wawili wafukuzwa CUF!

    Miaka michache iliyopita, CUF kilikuwa chama kikuu cha upinzani Tanzania. Hivi sasa nafasi yake imechukuliwa na CDM. Nafikiri ingesaidia sana kama tungejadili maana ya tukio la katika siasa za upinzani Tanzania na serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar? Je, Hamad Rashid ana nguvu za kuigawa CUF...
  3. M

    Nifate utaratibu upi ili niweze kutambuliwa kwa level yangu ya elimu

    Ndugu fimbombaya, Kwanza kabisa, nafikiri ulifanya makosa kumdanganya muajiri wako kwamba ulikuwa unasomea ualimu wakati ulikuwa unasomea kitu kingine tofauti. Sifahamu vizuri taratibu za serikali kuhusu watu waliosomea kozi tofauti na kazi zao lakin inawezekana muajiri wako alijua kuwa...
  4. M

    UDSM kumtunuku JK shahada ya falsafa ya udaktari?

    Leo nilikutana na mwalimu wangu wa zamani hapo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Anasema kuna mgogoro mkubwa unaendelea hapo chuoni kati ya uongozi na walimu juu ya kusudio la seneti kumtunuku Rais Kikwete shahada ya falsafa ya udaktari. Ameniambia Prof. Mukandala anadai vyuo vingi vimekuwa...
  5. M

    Hizi SALON za kiume za massage na Kushave balaa

    Huko bwana kuna utapeli mkubwa maana wanakudanganya eti dawa ya mba kumbe ni dawa za wave n.k Kwa upande mwigine, ni vizuri hao wakina dada wakajishikiza sehemu kama hizo badala ya kufanya ukahaba (ingawa sehemu nyingine unatengenezwa nywele alafu unaweza kununua demu pia). Ushauri ni kwamba...
Back
Top Bottom