Search results

  1. Majaribu2013

    Kusudio la Kuwashitaki DHL TANZANIA kwa ucheleweshaji wa kutoa mizigo uliokubuhu

    Wadau, Nahitaji mawazo na ushauri wa kisheria nataka niwashitaki DHL TANZANIA kwa kuchelewesha kutoa mizigo yangu ambayo ilifika Dar es slaam tangu tarehe 8 April, 2020 lakini hadi leo tunaongea hakuna mzigo uliotoka. Kwanza kabisa hawakunijulisha taarifa za mzigo kuwa umefika mpaka siku saba...
  2. Majaribu2013

    Kampuni nzuri ya kuagiza magari Japan

    WanaJF, Hapa Tanzania kumekuwa na maagent wengi sana wa kuagiza magari Japan kama vile BE FORWARD, STB JAPAN, AUTOCOM JAPAN n.k Ni kampuni gani nzuri unayoijua? Ambayo hawabadilishi badilishi bei, hawaibi vipuli gari ikifika, hawadanganyi muda maana wengine wanakuambia gari itaingia ndani ya...
  3. Majaribu2013

    Biashara, Nyumba au Gari?

    Habari za Muda Huu Mkuu? Kumekuwa na mijadala mingi sana katika jamii hasa kwa vijana wanaopambani kutafuta maisha. Jambo lenyewe liko hivi:- Mara nyingi vijana wanapoanza kuona mwezi {pesa} zinakuwa ndogo kiasi kwamba hazitoshelezi kufanya mambo yote tajwa hapo juu. Shida inakuja hapa je kama...
  4. Majaribu2013

    Majibu kwa Ontario kuhusu kuitwa tapeli wa Biashara ya Forex kupitia TMT

    Nimesoma kwa umakini sana post ya ONTARIO kuhusu kuitwa tapeli na namna alivyojisafisha >> Nakemea vikali ujinga, uongo, Uhuni na utapeli unaoenezwa na baadhi ya JF members Naomba kuzungumza machache tu kumsaidia kama feedback:- 1. Kwanza nakupongeza ni kijana mdogo lakini umefanya kazi kubwa...
  5. Majaribu2013

    Mrejesho: Forex ya Ontario

    Kijana mdogo ONTARIO aliyejizolea jina kubwa na hata kubadili jina lake na kuwa Mkuu na Chief akiiitwa na watu wa rika mbalimbali wazee kwa vijana. Kijana huyu ameleta sauti za matumaini kubwa miongoni mwa watu wengi, binafsi nampongeza sana kwa jitihada alizozionyesha. Bila shaka mpaka sasa...
  6. Majaribu2013

    Tatizo la Umeme Mtwara

    Inaumiza! Mkoa wa Mtwara uliojaliwa gesi, mabomba yakitiririsha gesi kuelekea DAR ES SALAAM huku yakiacha KILIO na uchungu mkubwa kwa wakazi wa Mtwara kwa kukosa umeme. Inavyoonekana tatizo ni kubwa mno na kwamba kwa siku za usoni tunaweza kushuhudia Mtwara ikikosa kabisa umeme. Inaumiza sana!
  7. Majaribu2013

    Mwanamke aliyeolewa ulimwengu wa Roho

    Kutokana na experience tosha ya maisha ya kuishi na kushuhudia wanawake walioolewa ulimwengu wa roho napenda nitoe sifa zao chache kama ifuatavyo:- 1. Hawapendi kufanyiwa matendo yampasayo mwanamke kama vile kuletewa zawadi, kubembelezwa, kutoka naye out n.k Ukimfanyia tendo la namna hiyo...
  8. Majaribu2013

    Uchawi: Nguzo ya Mtawala wa Nchi Ya Godwanaland.

    Mganga: Ili taifa lako na uongozi wako udumu, utamteua kiongozi mmoja kati ya watawala wako, na miiko yote itakaa kwake. Haya ndiyo masharti yako:- 1. Hautamuondoa madarakani hata kama atatenda kosa la namna gani. 2. Utamlinda kwa nguvu zako zote. 3. Japo atakuwa mwenye kibuli na katili...
  9. Majaribu2013

    Kosa kubwa lilikuwa ni kumuoa huyu mwanamke

    Hii siyo habari ya kutunga ni ukweli ninaoupitia katika maisha yangu. Ilikuwa mwaka 2010 nilipotoka kwetu Nyegezi Mwanza kwenda Mbeya kikazi, ilikuwa ni kazi ya miezi miwili tulifikia katika hotel ya Mt. Livingstone. Wiki la pili tulitakiwa kuwa Kyela kwa ajili ya kazi kwa wiki nzima ambapo...
  10. Majaribu2013

    Kuuza (export) ndizi (banana) nje ya nchi

    Wadau, Naomba mwenye mchanganuo ama ujuzi au uzoefu wowote wa kuexport ndizi nje ya nchi. Nataka kuanzia biashara hii niwe nanunua ndizi hapa nchini na kuzisafirisha kuziuza ulaya. Bei za nje zikoje? Taratibu za kiserikali Gharama na njia za kusafirisha? Asante.
  11. Majaribu2013

    NACTE nayo ni jipu

    deleted
  12. Majaribu2013

    Islamic State mlivurugwa kuua Ufaransa.

    Hiki kikundi cha hawa jamaa ni kama hakina washauri wazuri kabisa. Kiufundi kama kweli mfadhili wao mkuu ni Mmarekani hawakupaswa kufanya haya:- 1. Kushambulia mchi yeyote adui wa mmarekani pamoja na wadau wake. (Urusi na marafiki zake) 2. Kushambulia nchi yeyote mdau wa USA. Sasa...
  13. Majaribu2013

    Mbunge wa Mbeya Mr. Sugu tunaomba ushughulikie mgao wa umeme

    Nakuomba sana bungeni weka hoja ya mgao Wa Umeme. Tumechoka na mgao Wa Umeme huku Mbeya. Tunashindwa hata kufanya kazi sasa. Kama serikali imeshindwa kusimamia shirika LA Umeme iruhusu wawekezaji binafsi.
  14. Majaribu2013

    Barua ya wazi: Magufuli Waonee huruma wananchi unaowaongoza

    Heshima yako Mh, Rais! Nakumbuka wakati Wa kampeni uliahidi mambo mengi sana, pamoja na kusisitiza utendaji mzuri wa kazi zako. Nasikitika mno kwamba kadri siku zinavyosonga badala ya kupata faraja tunazidi kuumia kwa mateso makali. Naomba nizungumzie pointi mbili tu:- 1. Umeme Ukiwa...
  15. Majaribu2013

    Viongozi wa UKAWA ni wadhoofu sana

    Unakubalije matokeo yaendelee kusomwa wakati yamefutwa? Kama uchaguzi visiwani umefutwa haukuwa huru na wa haki utasemaje kwa kura za bara zilikuwa huru na za haki? Nendeni mahakamni kustop hili zoezi. Nyie wadhoofu sana mnatufanya vichaa sisi, kupiga kura halafu tuwalindie na nyinyi muuze.
  16. Majaribu2013

    Huwezi kufuta uchaguzi Zanzibar ukaacha Bara

    Kura za Magufuli na Lowassa kwa Zanzibar nazo zimefutwa? Hahahaha CCM hali ni mbaya sana! Tatizo sasa hivi ni upinzani tu hauna akili ya ziada hizi ndo zilikuwa nafasi za kuonyesha msimamo mmoja kwa UKAWA Zanzibar na UKAWA bara. Mngekaa viseversa kama matokeo ya Zanzibar yanafutwa...
  17. Majaribu2013

    Matokeo ya Urais: UKAWA chukueni hatua upesi

    Nasikitika sana kuona udanganyifu wa waziwazi kwenye matokeo ya urais UKAWA mmekubali kudanganywa live kabisa. Si mlisema mna form za nchi nzima? Ni aibu sana na ni ujinga mkubwa kusumbua wananchi wakati hata hamuwezi kupiga kelele kutetea matokeo yenu. Chukueni hatua haraka...
  18. Majaribu2013

    Kyela hali mbaya, mwandishi apigwa

    HALI YA AMANI KYELA SI NZURI, Mwandishi wa habari Masoud Maulid amepigwa na kuumizwa na polisi pamoja na chombo cha usafiri Pikipiki imeharibiwa vibaya; Tumeenda kumuona polisi hawaruhusu mtu yeyote kukanyaga kituoni muda huu unaishia barbarani. hata hivyo tumeambiwa yupo hospital kutibiwa...
  19. Majaribu2013

    Tuwachore: Anayejua kuchora katuni!

    Mimi ninaidea tu ya katuni ifuatayo:- 1. Katuni ya kwanza chora CCM Inawanyonya damu wananchi wake. Ichore kama Zombie kisha andika mwaka kama 2005. 2. Ichore tena kama Zombie limezama hasa kuwanyonya damu wananchi. Weka mwaka 2010. 3. Katuni ya tatu chora tena hili Zombie linawamwagia...
  20. Majaribu2013

    Utekelezaji: Sheria ya makosa ya mtandao.

    Yaani hii sheria ingetekelezwa kwa ufanisi ambao wangeathirika zaidi ni CCM. Naona propaganda, matusi na vitu vyote vya kuchukizwa vinafanywa na CCM.
Back
Top Bottom