Search results

  1. Baba Ndumbwi

    Ipi tofauti ya majukumu kati ya SUMATRA na LATRA?

    Wadau naomba kujua tofauti ya Sumatra na latra Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
  2. Baba Ndumbwi

    Kubadilisha Bahrain dinar

    Habari wadau... nimepata 100 Bahrain dinar kwenye mtumba nimeangalia exchange rate ni Tshs 69000. Nimeenda bank kadhaa naambiwa wanadeal na dollars pound na EUR so mwenye kujua wapi naweza kuichange.
  3. Baba Ndumbwi

    KUTOPATA NOTIFICATION

    Nisaidieni jamani zamani ilikuwa nikipewa like nataarifiwa, mtu akini quote nataarifiwa lakini siku hizi kimya nifanyeje ili iwe kama zamani (hali hii imeanza kama wiki mbili zilizopita)
  4. Baba Ndumbwi

    SIMU KUKATAA KU-DOWNLOAD NEW APPS

    Jaman msaada simu yangu aina ya samsung j1ace inakataa kudownload kitu chenye ukubwa wa 2mb hali device freespace ni 498mb. Sms ninayoletewa ni hii
Back
Top Bottom