Search results

  1. J

    Cuhas yatoa majina ya 2nd na 3rd batch

    Ndugu kama uliomba Bugando tembelea www.bugando.ac.tz
  2. J

    Hivi elimu si siasa?

    Wasalaam wanajamvi! Ni muda mrefu sasa nimekuwa nikijiuliza maswali mengi kuhusu jambo hili maana mda mrefu sasa nimekuwa nikiwasikia watu wakisema siasa imeingizwa kwenye elimu pindi utumbo Fulani(jambo liletalo hasara) unapofanyika kwenye sekta ya elimu! Cha ajabu hata watu wenye kiwango...
  3. J

    Muhas, cuhas, sfuchas mtatupa vidonda vya tumbo

    Wanafunzi walioomba vyuo vya afya tajwa hapo juu kwa tumechoka kusubiri!! Wakuu kuna mtu yeyote anaefahamu kinachoendelea kwenye vyuo hivi.....tufahamishane bandugu
  4. J

    Yananiumiza kichwa wanakwetu

    Maneno haya yanatofautianaje? Nayo ni haya mwehu, chizi, ayawani, punguani, mwendawazimu, zezeta, taahira na kichaa!!!
  5. J

    Big result now????

    Hivi majuzi serikali ilizindua mpango wa kuleta matokeo makubwa kwenye sekta mbalimbali, hapa kuna mengi ya kuzungumzwa hasa kwenye sekta ya elimu tuliofuatilia kilichoendelea kwenye ukumbi wa kisasa wa mwl. Nyerere nadhan tumebakia na maswali mengi yasio na majibu mojawapo na la msingi likiwa...
  6. J

    Wasalaam

    Hodi wanajamvi! Nami naomba nafasi ya kuwa sehemu ya tumain jipya la mabadiliko!!
Back
Top Bottom